Alikiba ni msanii mwenye taste unique

Alafu Mimi huwa sioni sababu za msingi kwanini tusiwapenda wote.
Mbona tulikuwa tunawapenda wote, kuna wapuuzi walioanza kuwapambanisha hapo ndio tabu ilipoanza, kama unakumbuka kuna Fiesta moja alipanda Kiba akashangiliwa sana , bahati mbaya alipopanda Mondi alizomewa na kupigwa na chupa za maji, mambo kama yanaleta mfarakano sana
 
Mkuu ielewemitaa me sijui kwanini humpendi Alikiba Ila najua nyimbo zake unazielewa Ila utakua na issue personal labda sababu huwezi nambie alipotea Kama angekua alikua anatoa ngoma hazivumi sawa lkn Kama alitulia akawa hatoi ngoma maana yake alipumzika kufanya Mambo mengine iyo ipo duniani kote hata Alina jayz wanaweza kaa hata miaka 3 hajatoa ngoma lkn sio kwamba kapotea
 
Mimi nampenda sana ila naweka record sawa wapo waliomzidi sema media haikutoa support ya kutosha kama aliyopata yeye, nikakupa mfano Feruzi na Prof j, halafu kuhusu kupotea huyo alipotea Ata R Kelly alipotea aliporudi wakina Treyz Song wakawa wanamkimbiza mpaka akasusa kushiriki kwenye tuzo akaona anadharirika, damu mpya ni tishio ogopa sana
 
[emoji23][emoji23]nmejikuta nacheka sana...anyways tumsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…