Alikiba ni Mtu Wa Watu Sanaaa, Kuliko wasanii wengine wa BF

Alikiba ni Mtu Wa Watu Sanaaa, Kuliko wasanii wengine wa BF

Traveller X

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Posts
271
Reaction score
305
Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni baada ya juzi kati nilipoenda kutazama mechi ya soka pale uwanja wa sigara tabata, dah jamaa ni mtu peace sana yani hata ukimuomba kupiga nae picha hanaga makuzi kama wengine, Alaf anavyojichanganya na watu kama sio star,

Keep it up bro, ishi na watu vizuri na watu wataishi na wewe vizuri na kukuheshimu

 
Huu uchochezi hauvumiliki, leta kojo lako tulipime..
Wakati domo anapiga picha na rick ross na kufanya nae collabo na video kbs.. mtu wetu wa watu yeye yupo tabata matumbi anagonga selfii na mateja!!.. ama kweli kupanga ni kuchagua
 
Mbona picha zenyewe kapiga na mastaa wenzie tu, isipokuwa tatu tu ambazo kapiga na wanafunzi pamoja na katoto?
 
Back
Top Bottom