Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
Kuna mastaa hawaishi na watu vizuri, yani ustaa umewalevya, ila kiba yuko tofauti sanaunamaamisha kuna watu hawaishi na watu vizuri au??
Kuna mastaa hawaishi na watu vizuri, yani ustaa umewalevya, ila kiba yuko tofauti sana
kumbe na wew ni mwanaume wa dar...tena unakula ubuyu wa kwenye vikopoSasa Alikiba ana tofauti gani na S kide?
Tunakula nae ubuyu sana tabata
kumbe na wew ni mwanaume wa dar...tena unakula ubuyu wa kwenye vikopo
Hahaha[emoji23] sikuiz kua mwanaume wa dar ni ukilema mkubwa sana,nimecheka sanaMkuu acha kunivunjia heshima, mm sio mwanaume wa dar..
Hahaha[emoji23] sikuiz kua mwanaume wa dar ni ukilema mkubwa sana,nimecheka sana
Wakati domo anapiga picha na rick ross na kufanya nae collabo na video kbs.. mtu wetu wa watu yeye yupo tabata matumbi anagonga selfii na mateja!!.. ama kweli kupanga ni kuchagua
Inahusikaje hapa ccm aganza?Ccm oyeeeeeeh
Dah!sori wrong textInahusikaje hapa ccm aganza?
Angalia imenijia hadi pm.Dah!sori wrong text
Namahaba na hicho chama !Angalia imenijia hadi pm.
lazima kiwe kinakuneemesha moja kwa moja.Namahaba na hicho chama !
Karibulazima kiwe kinakuneemesha moja kwa moja.
Nipe kadi maalumu nikuunge mkono nitaachora hadi tatuuu