Alikiba pale anaposema wanamuita kipusa ananichanganya

Alikiba pale anaposema wanamuita kipusa ananichanganya

Ocran

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2017
Posts
1,045
Reaction score
1,365
Habari za muda huu wapendwa, naomba mnisaidie mnaojua kiswahili vizuri, kuna seem kwenye wimbo mpya wa alikiba anasema kapewa majina mengi, wanamuita kipusa, na mimi naelewa maana ya kipusa ni mwanamke mrembo/mzuri, naomba mnijuze zaidi maana ya kipusa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu cheki hii
df9f13c6f5d4fa8d070022284c06116e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Redio 1 wao walikuwa na kipindi chao cha bangua bongo ukichemka una pigiwa kipusa...

nazidi kupata shida na maana ya kipusa na matumizi yake pia
 
Habari za muda huu wapendwa, naomba mnisaidie mnaojua kiswahili vizuri, kuna seem kwenye wimbo mpya wa alikiba anasema kapewa majina mengi, wanamuita kipusa, na mimi naelewa maana ya kipusa ni mwanamke mrembo/mzuri, naomba mnijuze zaidi maana ya kipusa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipusa ni pembe za ndovu au faru.
Yeye ni balozi wa tembo, ndio maana alisema wamempa jina hilo
 
Back
Top Bottom