Ocran
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,045
- 1,365
Habari za muda huu wapendwa, naomba mnisaidie mnaojua kiswahili vizuri, kuna seem kwenye wimbo mpya wa alikiba anasema kapewa majina mengi, wanamuita kipusa, na mimi naelewa maana ya kipusa ni mwanamke mrembo/mzuri, naomba mnijuze zaidi maana ya kipusa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app