Hii nayo kaliRedio 1 wao walikuwa na kipindi chao cha bangua bongo ukichemka una pigiwa kipusa...
nazidi kupata shida na maana ya kipusa na matumizi yake pia
Basi neno kipusa linabeba maana pana sanakipusa = mali/ kitu cha thamani/ pembe ya faru au ya ndovu n.k
Kipusa ni pembe za ndovu au faru.Habari za muda huu wapendwa, naomba mnisaidie mnaojua kiswahili vizuri, kuna seem kwenye wimbo mpya wa alikiba anasema kapewa majina mengi, wanamuita kipusa, na mimi naelewa maana ya kipusa ni mwanamke mrembo/mzuri, naomba mnijuze zaidi maana ya kipusa
Sent using Jamii Forums mobile app