Yess kwani tatizo nini kama kuna video bora why not.
Siku Diamond akienda kufanya video Nigeria, Ali Kiba na wenzie watahamia Nigeria
Poa ninaisubiria
Acha wivu kijana, mipango yake iko hivyo, hata akichangisha si yeye? Ulitaka abebe sembe ili apate hela za haraka. Any way poleni naona mwaka huu hamjawa nominated BET hagahahhahahaha, tulitabiri kuwa tambo na majigambo yatawapoteza
Kiba mimi nakukubali kwa kila kitu....
Iyo video ukiamua kutoa fresh ila ata usipotoa mimi fresh tuu maana iyo audio nishajua jinsi ya kuicheketua ...
Binafsi hujanikosea chochote kila unachofanya ndo kilivyopangwa na Mungu so mimi ni nani hata niharakishe mambo?
Afu kuna watu wanafki kama kunguni wa mbwa...wanangoja video itoke waanze kuikosoa...
Sasa kwa taarifa yenu video ya chekecha itakua nzuri na itakubalika dunia nzima.
inshaalah itakuwa pouwa..... lakini kwa kusema hajakosea suala la kuichelewesha hapana, coz hata yeye mwenyewe anakuambia samahani kwa kuchelewesha, na hakukusudia hilo...
Kumbe na wew mshabiki wa kiba eeehh...
Umeona nimeandika mie mshabiki?
Kwa hiyo miziki ninayoisikiliza yoteeee tangu nizaliwe lazima uwe shabiki wa kukaa na kuandika na kukubali hata yasioonekana, kama mwimbo haujaupenda nijifanye naupenda?
Nikipenda msanii nitampenda kisanaaaa na kuna nisiopenda kisana na kuna nisiowapenda.
So ndio nasema nausubiria si mtarusha kideo chake, yes hapo tutaona kazi yake na kusema ilivyotuingia tena kwa jinsi zinavyotoka video nyingi utube sijui na wapi nitaangalizia kwenye isiyo official sababu ya kuniuliza swali hili.
Mimi bado na nitazidi kuwa mmoja wa mashabiki wa D na wengine kimziki na maisha yao.
So furahia mie sio shabiki wa kiba utakavyo niwe.
Sasa hapo juu hujaona ujumbe unawahusu wakina nani? Ujumbe ni kwa mashabiki wa kiba..
Au unaingoja uikosoe? Hahahaa iyo haikosolekiii
Duh unachekesha so nikikuta waimbaji hata siwajui nisisome uzi sababu ni ipi ushabiki?
Ongea lingine, naisubiria kama kawa. Lazima atoe bomba maana kwa sasa hana anachofanya bali kusubiria kideo hicho as ndicho alichokiongelea, angeongelea mengine ya kufurahisha na maendeleo yake wangeyaandika.
Haya tusubirie kwa pamoja atiii
aache ushamba huyo muha
Kiba mimi nakukubali kwa kila kitu....
Iyo video ukiamua kutoa fresh ila ata usipotoa mimi fresh tuu maana iyo audio nishajua jinsi ya kuicheketua ...
Binafsi hujanikosea chochote kila unachofanya ndo kilivyopangwa na Mungu so mimi ni nani hata niharakishe mambo?
Afu kuna watu wanafki kama kunguni wa mbwa...wanangoja video itoke waanze kuikosoa...
Sasa kwa taarifa yenu video ya chekecha itakua nzuri na itakubalika dunia nzima.
yy kiba kawa nominated bet?
k 4 real
Sasa hapo juu hujaona ujumbe unawahusu wakina nani? Ujumbe ni kwa mashabiki wa kiba..
Au unaingoja uikosoe? Hahahaa iyo haikosolekiii