Alikiba: Samahani mashabiki wangu kwa kuchelewesha video ya chekecha

uzalendo mbele jamani,, mponde kwa vyote lakini si kwa tz kukosa nomination

Leo ndio mnakumbuka kuhusu uzalendo eeh? Mmesahau wiki zilizopita hapo mlivyokua mnampamba kua hizi tuzo za home sio za hadhi yake?
Unafki mbaya sana.
 
hahaha kweli,, lakini hayo yalikuwa maneno tu ya mashabiki diamond hakuongea hayo....

kwa upande mwingine kukosa bet si kukosa tuzo zote za nje kumbuka tu mwaka huu tayari ana tuzo kutoka UG mwezi januari kama mwanamuziki bora wa EA na nyingine natumaini zinakuja....

afu haya mambo ya mashabiki kukashfiana yanapelekea chuki inaamia kwa msanii, tuwe na peace....
 
Hahahahahaaa....haya ni maneno ya kujifariji tu.Angekua nominated sidhani kama ungesema hivi!
 
Hahahahahaaa hili jambo kila nikikumbuka nacheka sana.
Wakiintaneshino wamekua wapole huku balaa....

Lazima uwe mpole utafte sababu kujidaganya international amekua Jay Z au Rihana. Kuna mashabiki wanawapotezaga wasanii kwa ushabiki maandazi.
 
Back
Top Bottom