lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Hapo nafikiri pesa ya kufanyia video ndio tatzo pka afanye shoo atafute..
Any way kila la kheri Ally kiba... sisi tunasubiri burudaniiiiiii tucheketue
FYI mimi sio team nani wala nani im just an observer,aache ushamba anashindwa na kina rich mavoko!!!
mkuu umetumwa nini?
Yy KIBA kawa nominated BET?
Duh unachekesha so nikikuta waimbaji hata siwajui nisisome uzi sababu ni ipi ushabiki?
Ongea lingine, naisubiria kama kawa. Lazima atoe bomba maana kwa sasa hana anachofanya bali kusubiria kideo hicho as ndicho alichokiongelea, angeongelea mengine ya kufurahisha na maendeleo yake wangeyaandika.
Haya tusubirie kwa pamoja atiii
hamna kitu... kama vipi achukue video na Tecno P5 yake
Nyimbo yenyewe mbovu sana, hiyo video bora asiitoe anapoteza tu ela zake
Nyimbo yenyewe mbovu sana, hiyo video bora asiitoe anapoteza tu ela zake
ali kiba anahangaika sana angetafuta shughuli nyingine ya kufanya hayupo creative kabisa sijui kwa nini watu hawamshauri.
Friend,kiba kafanya mistake katika hili la kuchelewesha video ni lazima ammbiwe ukweli.Eti haendi na wakati.Haya basi, hao wanaoenda na wakati wamefanya nini?
Kiba yuko unique, hafanyi mambo kwa kuiga na wala hafanyi mambo ili afanane na wengine.
Ndio maana namkubali namna hii.
Friend,kiba kafanya mistake katika hili la kuchelewesha video ni lazima ammbiwe ukweli.
hivi mnaikumbuka video mbovuuuuuu kabisa ya cinderella ahahahahaha ... nyie endeleeni kumkurupusha awatolee kichupa kibovu kabisa kama cha cinderella au mwana
Friend,kiba kafanya mistake katika hili la kuchelewesha video ni lazima ammbiwe ukweli.
Vipi jamani tupeni link ya kumpigia mondi kura BET maana tuzo za Kill ni too local yeye yuko international zaidi....
Hahahahahahaaa