uzalendo mbele jamani,, mponde kwa vyote lakini si kwa tz kukosa nomination
Leo ndio mnakumbuka kuhusu uzalendo eeh? Mmesahau wiki zilizopita hapo mlivyokua mnampamba kua hizi tuzo za home sio za hadhi yake?
Unafki mbaya sana.
hahaha kweli,, lakini hayo yalikuwa maneno tu ya mashabiki diamond hakuongea hayo....
kwa upande mwingine kukosa bet si kukosa tuzo zote za nje kumbuka tu mwaka huu tayari ana tuzo kutoka UG mwezi januari kama mwanamuziki bora wa EA na nyingine natumaini zinakuja....
afu haya mambo ya mashabiki kukashfiana yanapelekea chuki inaamia kwa msanii, tuwe na peace....
Hahahahahaaa....haya ni maneno ya kujifariji tu.Angekua nominated sidhani kama ungesema hivi!
Hahahaaa unanifurahisha sana, chukua azam cola kwa mangi ntakuja kulipa! Lol
Hahahahaa thanks sisy....nimeshachukua najipoza hapa.
Kesho ndio tutajua nani ni nani kwenye tuzo za watu.
Wale wengine ni wakiintaneshino hii wataishia kuisikilizia mtandaoni!
Hahahahahaaa hili jambo kila nikikumbuka nacheka sana.
Wakiintaneshino wamekua wapole huku balaa....