Planner
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 348
- 148
Nafurahia miziki ya bongofleva na wasanii wetu.
Ukiangalia Picha za Alikiba kwenye public appearance au hata show anapenda KUSHIKA AU KUWEKA mkono uelekeo zilipo sehemu za siri!
Hata kama ni swagger sidhani kama inaleta maana..binafsi namchukulia kama msanii mkubwa na sitegemei kitu kama hicho kila mara. Pia context yetu ni tofauti na ulaya au America, si lazima kila kitu tuige.
Ni mtazamo tu.