Hivi kweli inaingia akilini kwamba Diamond alikurupuka tu na kufuta mistari ya Ally Kiba bila sababu? For me, it doesn't make any sense! Nafahamu Kiba sio muongeaji sana, the same to Diamond! Lakini hawa wasio waongeaji wana matatizo yao, tena mabaya zaidi kuliko sie waongeaji ambao ukituzingua hapo hapo tunakupa za chembe kisha tunaanza upya! But all in all, it's good for him (Kiba) coz' tutake tusitake... tumpende au tusimpende; huu ni wakati wa Diamond na Kiba haieleweki eleweki! So, kama ambavyo Diamond alivyopata kunukuriwa, Kiba asione soo kupiga magoti kwa Diamond ili afanye featuring im-boost! Akitaka kufahamu The Power of Diamond aende akamuulize Nay wa Mitego... hata mzee mzima Prof. Jay nae ameiona hiyo PoD! Utasikia wengine wanakuja hapa... Ally Kiba ni mkali kuliko Diamond, SAWA lakini it doesn't matter at all! Hata huko Unywamwezini tunaangalia ngapi za kwako zimeingia Billboard, hayo mengine ni siasa!