Povu linamtoka Kiba wala sio mimi...Aliamua akae kimya kilichomuwasha aongee sasa ni nini kama sio kutafuta kick?? Anakaa kimya miaka,kurudi na singo mpya anaanza kumchokonoa diamond..Anataka kurudi kwa mgongo wa diamond uyo hana lolote.
Na nyinyi mmeanzisha bifu lenu duh.
Naye akija kutoka kama diamond utamchukia tu wabongo mpo kama wachawi
Hivi kweli inaingia akilini kwamba Diamond alikurupuka tu na kufuta mistari ya Ally Kiba bila sababu? For me, it doesn't make any sense! Nafahamu Kiba sio muongeaji sana, the same to Diamond! Lakini hawa wasio waongeaji wana matatizo yao, tena mabaya zaidi kuliko sie waongeaji ambao ukituzingua hapo hapo tunakupa za chembe kisha tunaanza upya! But all in all, it's good for him (Kiba) coz' tutake tusitake... tumpende au tusimpende; huu ni wakati wa Diamond na Kiba haieleweki eleweki! So, kama ambavyo Diamond alivyopata kunukuriwa, Kiba asione soo kupiga magoti kwa Diamond ili afanye featuring im-boost! Akitaka kufahamu The Power of Diamond aende akamuulize Nay wa Mitego... hata mzee mzima Prof. Jay nae ameiona hiyo PoD! Utasikia wengine wanakuja hapa... Ally Kiba ni mkali kuliko Diamond, SAWA lakini it doesn't matter at all! Hata huko Unywamwezini tunaangalia ngapi za kwako zimeingia Billboard, hayo mengine ni siasa!
Kwa wimbo mbaya kama huu,hawezi kurudi bila kick akymungu
kula gwara man!...uyasemayo ni kweli kabisa!....kitu ambacho wengi hawakijui ni kwamba ali kiba alivyokuwa juu alikuwa mjivuni sana hata hakuwa karibu na wasanii wenzake kama alivyo diamond leo!kiba is talented ila kwakuwa game ya bongo ni ya kupokezana kijiti (according to ruge mutahaba) huyu kiba hata afanye nini kufikia level alizokuwa awali ni ndoto za alinacha!his time has passed atabaki kukubalika kama ana kipaji ila hawezi kutoboa
Wasalaam!
Wana jamvi leo Msanii Alikiba ameamua kufungaka na kuweka waZi kili kinacho hitwa tofauti au bifu kati yake na Msanii Diamond!Kwanza lazima tukubaliane kuwa ALikiba ni mmoja wa Wasanii wasio penda maneno na malumbano na wasanii wenzie ndio maana hukaa kimya. Kwanza Alikiba alisema hana bifu na diamond na hana sababu ya kuwa na bifu nae japo yanayo ongelewa yana muumiza sana na aliamua kuondokana na hayo yote busara ya haraka ilikuwa kukaa kimya.
Aliendelea kusema aliumizwa sana aliposikia kuwa amefuta mistari ya diamond kwenye wimbo wa Single boy ambao aliimba na lady jaydee na hakuimba kabisa na diamond na hata producer aliye record wimbo huo alithibitisha. Aliendelea kusema kuwa aliumizwa sana na uongo huo kuhusu yeye na hakupenda kuuongelea sana kwa sababu ange onekana anatafuta kick wakati hakuKuwa na kitu kama hicho.
Pia Alikiba aliamua kusema kuwa aliumizwa sana na kitendo cha Diamond kufuta mistari yake kwenye wimbo wa Lala salama maana Diamond hakumwambia kwanini kafanya hivyo na hadi leo hakuwai kumwambia. Alisema hilo swala amechukulia kama na Kitendo cha mtu kuomba mtihani wako aangalizie alaf baadae ana kurudishia mtihani wako na kusema sitaki majibu yako au ana yafuta yote alaf unategemea atajisikiaje? na alisema yeye alisha samehe lakini Diamond alimkosea na hadi leo hawakuwai kukutana.
Ameweka wazi kuwa aliamua kuwa kimya ili watu waongee lakini hana tatizo na Diamond. Katika hili sikuona sababu ya Diamond kutomwambia Alikiba kuwa wimbo naufanya upya na nimetoa mistari yako maana sikuipenda na nimeamua kuimba mwenyewe.
Karibuni wana jamvi.
Povu linamtoka Kiba wala sio mimi...Aliamua akae kimya kilichomuwasha aongee sasa ni nini kama sio kutafuta kick?? Anakaa kimya miaka,kurudi na singo mpya anaanza kumchokonoa diamond..Anataka kurudi kwa mgongo wa diamond uyo hana lolote.
kula gwara man!...uyasemayo ni kweli kabisa!....kitu ambacho wengi hawakijui ni kwamba ali kiba alivyokuwa juu alikuwa mjivuni sana hata hakuwa karibu na wasanii wenzake kama alivyo diamond leo!kiba is talented ila kwakuwa game ya bongo ni ya kupokezana kijiti (according to ruge mutahaba) huyu kiba hata afanye nini kufikia level alizokuwa awali ni ndoto za alinacha!his time has passed atabaki kukubalika kama ana kipaji ila hawezi kutoboa
Hivi we bwe*ge unaweza kunipa sababu za kunishambulia binafsi wakati mie nimeongelea suala la Kiba bila kumshambulia yeyote? Au Kiba ni basha wako kwahiyo inakuuma watu wanapoongea usiyopenda kuyasikia? Sasa usiye na akili na mjinga ni wewe na huyo basha wako anayekuchokonoa...kama una akili timamu nadhan utakua unaelewa kilichomuuma kiba sio kufutwa mistari yake,ila kwann hakupewa taarifa..
alaf diamond nimlopokaji sana hakustahili kusema maneno kamaa hayo eti kiba aombe colabo kwake im boost,na sema tu sababu ya watu wajinga kama nyie ndo maana anaona yupo sawa..
anapenda sana kuongea maneni kuhusu kiba lakin mara nying kiba anapga kimya..
lakin kama kiba angejibu mngesena anatafta kiki..
You're very right... kila mmoja anafahamu Ally Kiba yupo vizuri lakini huu si wakati wake! Na kama ulivyosema, game ya Bongo ya akina Ruge ni ya kupokezana kijiti lakini suala la kupokezana kijiti sio bongo tu, popote pale duniani... si rahisi kubaki top wakati wote! Michael Jackson aliendelea kuitwa King of Pop si kwa sababu aliendelea kutingisha Billboard bali kwavile tu mafanikio ya kazi ambayo aliifanya 1980's ilikuwa haijafikiwa na yeyote yule! Alikufa akiwa bado King of Pop lakini alikufa akiwa amei-miss Billboard kitambo!!kula gwara man!...uyasemayo ni kweli kabisa!....kitu ambacho wengi hawakijui ni kwamba ali kiba alivyokuwa juu alikuwa mjivuni sana hata hakuwa karibu na wasanii wenzake kama alivyo diamond leo!kiba is talented ila kwakuwa game ya bongo ni ya kupokezana kijiti (according to ruge mutahaba) huyu kiba hata afanye nini kufikia level alizokuwa awali ni ndoto za alinacha!his time has passed atabaki kukubalika kama ana kipaji ila hawezi kutoboa
Papizo,Acheni chuki binafsi wakuu, Ally Kiba haimbi kwa kubahatishaaaa, so kaeni mfikirie tena vizuri
Aendebzake ALIKUWA WAPI POPOMPO SIKUZOTE
Didy hivi ukiwa unaandika kuna mtu anakuwa anakukimbiza nini au swagga.
Kukaa kimyaa nalo jibu