kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
- Thread starter
-
- #21
Ndo michezo yako nn Mkuu kutoa kisamvu kwa wanaa maana unaonekana mtalamu sana wa hayo mambo.Aisee mm nlijua alikiba wakati anakutafuna aliikubaka kwa nguvu na sio kukupiga mikiss na kukuchezea (kama kweli ww dume na umeandika Uzi huu BAs utakuwa juma likole)
Manzi alidai hana energy so alikuwa anataka abustiwe kidogo na energy drink ya mofaya ila coz ya ubabe wa jamaa demu ikabidi agaili na kutaka apewe mzinga.Halafu wengi mnaonyesha kuwa hamjaelewa mantiki ya ile scene inayo muonyesha kiba akiongea na yule manzi kisha yule manzi aka kataa mo faya na kuagiza mzinga ...
Chukua hii ---- nyimbo inaitwa kadogo kana penda kerolo .. so ulitaka mwanamke aagize energe drink wakati maaudhui ya nyimbo yana mtaja kuwa kadogo ni binti anaye penda ulabu (kunywa pombe )
Kerolo(pombe) wakenya wengi wanapenda kuiita pombe kwa jina hilo la kerolo... kama hamjuagi maana muwe mnauliza kuliko kuongea ongea tu msivyo vijua
wewe ni bwabwa?Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
Njoo getto ndo utajua jinsia yangu.
Brother huyu kijana ni mtoto wa watuumemaliza ndugu
kumbe wewe shoga, no wonder
Mkuu kwani nani kakuambia huyu mtoa mada ni mwanaumemwanaume unataka mwanaume mwenzako awe romantic ili akufurahishe au?
Mademu ndo wanapenda watu wababeKwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
Hahahhaha pilau la sikukuu sio mchezo linashibisha hilo mpaka unahisi kulewa lewaBraza naona umeshiba pilau la sikukuu
Hapendi show off😀😀😀😀huku wenzie wanamuacha mbali. Kabakiwa na 'ukingi' feki tu. YooooooooooooooooooKwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.