Alikiba siyo romantic kabisa, ubabe mwingi.

Alikiba siyo romantic kabisa, ubabe mwingi.

Aisee mm nlijua alikiba wakati anakutafuna aliikubaka kwa nguvu na sio kukupiga mikiss na kukuchezea (kama kweli ww dume na umeandika Uzi huu BAs utakuwa juma likole)
Ndo michezo yako nn Mkuu kutoa kisamvu kwa wanaa maana unaonekana mtalamu sana wa hayo mambo.
 
Halafu wengi mnaonyesha kuwa hamjaelewa mantiki ya ile scene inayo muonyesha kiba akiongea na yule manzi kisha yule manzi aka kataa mo faya na kuagiza mzinga ...

Chukua hii ---- nyimbo inaitwa kadogo kana penda kerolo .. so ulitaka mwanamke aagize energe drink wakati maaudhui ya nyimbo yana mtaja kuwa kadogo ni binti anaye penda ulabu (kunywa pombe )

Kerolo(pombe) wakenya wengi wanapenda kuiita pombe kwa jina hilo la kerolo... kama hamjuagi maana muwe mnauliza kuliko kuongea ongea tu msivyo vijua
Manzi alidai hana energy so alikuwa anataka abustiwe kidogo na energy drink ya mofaya ila coz ya ubabe wa jamaa demu ikabidi agaili na kutaka apewe mzinga.
 
Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
Mademu ndo wanapenda watu wababe
 
Hiyo romantic ukichanganya na maharage upate na juis ya embe huwa inavutia sana
 
Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani anaongea kibabe babe tu mpka demu akakataa MOfaya na kutaka apewe MZINGA.
Hapendi show off😀😀😀😀huku wenzie wanamuacha mbali. Kabakiwa na 'ukingi' feki tu. Yoooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom