Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Alikiba umeharibu ngoma ya Aslay

Kuna ngoma imetoka huko ni ya aslay na kiba

Lakin kusema ukweli aslay kaimba vizur ila huyu ali kiba kazingua sana
Super star mkubwa kaimba kama under ground

Bora tu hata angesimama mayunga au mario
alikiba hana tofauti na bestnaso aliyepewa Airtime.
 
Back
Top Bottom