Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Yuko huru kufanya akipendacho!!!kipindi hiki chote sijaingia ig kwa ajili ya harakati hizi za siasa, ila kwa kuwa aliyeanzisha uzi ni mkereketwa mwenzangu basi naamini ni ukweli pasi na shaka na bila unafiki nasema taifa hili lina thamani kubwa kuliko yeyote yule, huyo ali itabidi akae tu pembeni vijana tuendeleze gurudumu hadi kufikia oct.25
PC