Alikiba umetuangusha watanzania

Yuko huru kufanya akipendacho!!!
 

Attachments

  • 1441097168678.jpg
    29.4 KB · Views: 724
Yuko huru kufanya akipendacho!!!

yes indeed, afanye tu apendacho , nami ntafanya nipendacho pia maana tunapambana haswa kuhakikisha watu fulani wanaachia ngazi, kama yeye yuko upande wao nafikiri hatuwez kusafiri kwa kutumia boti moga.

PC
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
As if anajali unasema nini au anakusikia,kama ulivyokua na maamuzi ya kumpenda yeye ukawacha wasanii wengine na yeye pia ana choice yake,usiumize akili yako am sure kuna mambo ya muhimu sana ya kufanya kuliko hili.
 
yes indeed, afanye tu apendacho , nami ntafanya nipendacho pia maana tunapambana haswa kuhakikisha watu fulani wanaachia ngazi, kama yeye yuko upande wao nafikiri hatuwez kusafiri kwa kutumia boti moga.

PC

Masikini poleni....Bora mie CCM siipendi lakini nampenda Diamond, stress zikinizidia najipoza na nyimbo zake...Haya maisha ukiyachukulia serious unakufa kabla ya siku zako...Haya Dr nae anatoa le tamkoz Leo sijui watu watajinyonga?
 
Hahahahhaahah mi siko popoteee cc nifah
 
Last edited by a moderator:
Masikini poleni....Bora mie CCM siipendi lakini nampenda Diamond, stress zikinizidia najipoza na nyimbo zake...Haya maisha ukiyachukulia serious unakufa kabla ya siku zako...Haya Dr nae anatoa le tamkoz Leo sijui watu watajinyonga?

sijaelewa pole yako ya nini, BTW huwezi kuni-provoke kwa ajili ya mziki katika kipindi hiki ambacho tunaelekea ukombozi, kama tulivyomuacha professa ndivyo itakavyotokea kwa Dr, hakuna kitakachosimama
 
Waacheni vijana watengeneze maisha naamini pamoja naushabiki lakini watakuwa wanakatiwa pesa ndefu wakatae? Huku mnataka wakashoot video kwa godfather unafikiri hiyo pesa wataitoa wapi,ukizingatia mwaka huu hakuna fiesta hiyo ndiyo fiesta Yao,halafu afadhali Kiba naye kawa upande wa Magufuli angeenda Ukawa pangechimbika,na Wao Ni binadamu wana hisia Kama raia wa kawaida waacheni na maisha Yao.
 
kwani kaacha mziki?? jaman tunashanikia mziki wake au mtazamo wake juu ya wanasiasa?
au ndo yale ukimshabikia unataka awe na mademu wa aina yako??

kila mtu anapima kiongozi kwa anavyoweza kaona viongozi walotangaza nia anayemfaa ni huyo. isitoshe maana ya vyama vingi ndo hiyo kila chama kiwe na watu walumbane bila kugombana.

ila mwafulani na vyama vyao wanaona mtu asokuwa chama hicho hana akili, hapendi mabasiliko cjui, hajitambui!! nani kasema kuna chama kisicho na kasoro??

kila mtu awe na uhuru wakukubali au kukataa mgombea
 
Hawa wakina nifah mimi nilishawapuuza muda mrefu. Wana uwezo mdogo sana wa kuitazama dunia.

Ahahahah yaani leo ninachekacheka peke yangu kama chizi!watu walimaliza maneno yooote na wakaona kwa kua diamond kaisapoti ccm basi wakatumia hiyo chance kummaliza kisanii!leo kiba kanikosha sanaaaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…