Alikiba umetuangusha watanzania

nifah ina maana huu uzi hujaona? Povu liliwatoka kwa diamond njooni nahapa
 
Last edited by a moderator:
ahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!nacheka cheka peke yangu kama chizi vile!amejua kunikomeshea watu leo Ally
Hakika leo ni siku mbaya kwa makamanda huku wanapigwa na Ally kule wanapigwa na Dr.Slaa..!

Aiseee huu mwaka tutaona na kusikia mengi...
 
Ahahahah yaani leo ninachekacheka peke yangu kama chizi!watu walimaliza maneno yooote na wakaona kwa kua diamond kaisapoti ccm basi wakatumia hiyo chance kummaliza kisanii!leo kiba kanikosha sanaaaa
Jinsi daimond alivyopost kuhusu ccm na kiba ni tofauti hamana kejeli wala vijembe kwa kiba na kiba sio ccm yule ni behind the scene utafanyaje wakati wao ndo wenye ukitaka kuamini hvyo hebu nitajie sehemu aliopiga show kiba ya siasa mwaka huu sema hana jinsi ni nguvu ya umma imemsukuma
 
Senkyu senkyu mi nakaa pembeni na popcorn kushuhudia kejeli na matusi kama yatakuwepo.

Thubutuuu!matusi uyaone hapa?!mimi nilisema wale walokua wanamtupia madongo diamond ni teamkiba wenye ID saba saba au nane nane!Bavicha walikua wachache sana kina dinazarde.

Kuthibitisha hilo unajione mwenyewe hapa!wamekula kona leo kingkiba kawaweza sana
 
Kwa kweli ni chuki chuki chuki, waje tu hapa waprove wrong. Huyo Dinazarde mwenyewe hana ubavicha wowote ni ccm alotoroka na lowasa!
 
ahahahaha kifo ni kifo haijalishi umekufaje!mliponda sana pwilo!!ameshasema raisi wake ni Magufuri baaaaasi
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Pamoja na Allikiba kuwa na haki ya kuchagua anacho kipenda lakini kwenye account yake hakuna unacho kisema...
 
ahahahaha kifo ni kifo haijalishi umekufaje!mliponda sana pwilo!!ameshasema raisi wake ni Magufuri baaaaasi

Mi sikumponda daimond aisee ila kiba hana kosa maana mpaka jana kupost vile amevumilia sana ila kiba ni ukawa sawa Kimbley ruge ndo kila kitu kwenye soko la tz ila tusiseme sana maana kiba kashakataa pesa kibao za siasa ila yamemfika hapaa hana jinsi umemuona dogo huyu anamuwakilisha baba ake chama chake
 
Attachments

  • 1441102750597.jpg
    17.7 KB · Views: 369
Last edited by a moderator:
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Mkuu yamemfika hapaa hana namna atafanyaje
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Pole sana kama ulichelewa kulifahamu hili! Sie wengine tulikuwa tunawacheka tu na ndio maana tarehe 24/08/2015, wiki moja nyuma niliandika: Na kuna mwenzako mmoja nilimwambia: Sasa hapo isije ikawa mnajengwa kisaikolojia ili msije mkadondoka siku mkimuona jukwaani kabisa!!!
 
Hakika leo ni siku mbaya kwa makamanda huku wanapigwa na Ally kule wanapigwa na Dr.Slaa..!

Aiseee huu mwaka tutaona na kusikia mengi...

Dah!yaani leo wamebaki kinywa wazi,akiba ya maneno ni nzuri sana kuwa nayo!watu walijimaliza aisee,wakajivika taji la m/mungu kwa kutoa hukumu kwa Diamond utadhani amechinja mtu maskini!

Leo kingkiba kawatoa kiherehere na Shobo zote leo kwishaa kabisa
 
Haya endeleeni kusambaza ushamba na ulimbukeni wenu kwa kuwatukana na hapa chini:
 
ahahhha masikini pwilo!!!hiyo ishara aliyoiweka Sameer hapo ina maana ni Peace & Love na wala sio Ishara ya Chadema!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yamemfika hapaa hana namna atafanyaje

Wengine walivyoshabikia Magufuri mliona wamekosea na hawajielewi!mkampamba kwa matarumbeta Allykiba kwamba ni mtu anayejielewa sasa leo veeepeeee?!

Hakuna cha clouds wala nini!hayo ni mapenzi yake binafsi na maamuzi yake bhaaas na wala hajahongwa wala kulazimishwa!Allykiba ni CCM.

Muwe munaweka akiba ya maneno jamani!ahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…