Alikiba umetuangusha watanzania

TEAM WEMA NDIO WALIOMTAKA KIBA AANDIKE VILE KWA KUWA WANAMPAGA SAPORT
Ninachojua kiba ni UKAWA ila ameamua tuu asiangushe team WEMA.
cute b, kama kweli unampenda Kiba basi usimtoe akili kiasi hiki kwamba eti anaweza kuburuzwa na mashabiki wa Wema! Hata huyo Wema ingawaje anaipigia kampeni CCM si kwamba mashabiki wake wote ni CCM! Huyo Kiba amewahi kutangaza wapo kwamba yeye ni UKAWA? Hivi kabisa unavyomuona yule Kiba amekaa KIUKAWA UKAWA yule? Binafsi ukiniuliza nani amekaa ki-UKAWA UKAWA kati ya Diamond na Kiba, jibu nitakupa Diamond na to be honest, tangu hapo, nilitarajia it's just a matter of time Kiba atajitokeza!

NB:Wanaotakiwa kumkimbia Kiba ni wale walio majukwaani kv akina Mbowe, akina Sugu, akina Lema n.k kwavile anawaharibia biashara yao ni sio nyinyi... wewe hukumfuata Kiba kwa ajili ya siasa bali kwa ajili ya kazi zake za muzki Nyie watoto acheni ulimbukeni wa kujifanya ndo mnajua sana siasa na mabadiliko na kwamba ndio wenye uchungu na nchi hii kuliko watu wengine!
 
BB unaumiza kichwa chako bure tu hapa... ni upepo tu! Huyo Dr. Slaa mwenyewe yamemshinda, mtakuja kuwa nyinyi? Hebu acheni mambo yenu... hapa hakuna kugawa mashabiki wala nini, watu wapo kibiashara sawa na Ndesamburo alipowahi kumkodishia chopa kada wa CCM wakati wa kampeni! Tena mkiwa mnalalamika namna hii mnatufanya kama mashabiki vilaza, kwamba kv Chibu na Kiba wamesema Magufuri ndo mpango mzima, basi wooooooooooooooooooote, kama nyumbu vile tunaenda kwa Magufuri!!!
 
Last edited by a moderator:

Inamaana team wema ndo wana control king kiba😕 kwa kipi kiba kashikwa na team wema na sio team kiba
 
ntaacha kumkubali king kiba siku akiniletea dharau ila si kwa hili.....
 

kwakweli kwa heri Alikiba....kajipigie kura mwenyewe sasa...
 

Aache kufanya kazi ili kukufurahisha wewe?
 
ntaacha kumkubali king kiba siku akiniletea dharau ila si kwa hili.....
Senk yuu Muuza Sura! Tena we cute b hebu muombe radhi Kiba... yaani Kiba huyu huyu aliye-stick kwenye mpango wake wa kutom-follow yeyote leo hii ayumbishwe na Team Wema! Tena kwa ninavyomuona Kiba, nahisi kwa sasa anatamani sana kuwa-follow watu muhimu lakini ameamua kuleta ukauzu na ku-sticky kwenye imani yake ile ile ya awali.
 
Last edited by a moderator:

Alikua hajapata hela yake nadhani
Kimbley hukunielewa...Pamoja na kuwa kila mtu ana mapenz yake kwa mgombea Fulani

Nilimkosoa Dimond kwa kutokuwa na Limits....Kwa nini aanze kutukana watu wengine....Eti Wagonjwa hawaendi IKULU...Eti UKAWA ni wakabila ...wakaskazini....Angekuwa mwanasiasa sawa....lakn kama musician no
 
Last edited by a moderator:
Tena wakipenda waache kushabikia muziki ama wagawanyike team diamond waliomtusi wawe team sugu team ally kiba wawe team profesa j ila sisi tusio na ushabiki wa kisiasa tutaendelea kusapoti team zetu muziki.
 

Mbona kama umeling'ang'ania jambo usilolijua?
Sasa mimi ndio ninayekwambia endelea kubishana na ukweli.
Mimi ndio ninayejua a to z sasa wew bisha simu yako bando lako.
Freedom
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…