Nimetazama hio post ya Ali kiba na nikagundua ali kiba amepost vile kutokana na influence fulani ya juu yake.
Na ndio maana hajaweka mbwembwe za aina yoyote zaidi ya hio caption.
Hio ni tofauti na diamond ambae kwa kutazama posts zake unagundua kwanza yupo kazini na pili anakipenda akifanyacho.
Ila kwa kumalizia naomba tuwaache tu wafanye wafanyayo ingawa wakifanya against na itikadi zetu inauma ila no way...
Kama ambavyo aunty Ezekiel akitoka kwenye kampeni za ukawa anakandwa kiuno na moze iyobo aliekua kwenye kampeni za ccm,bhasi hatuna budi waelewa tu na kuwavumilia hawa wasaniii...
Hasa ukizingatia siasa zenyewe za kiafrika ni za hovyo sana.
Hahahahh simo mie wasanii Wa bongo stress tupu nipo zangu michezo kule na ralax tu hahahahahah
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
ahahahahaha!!yaani ni shida tupu!hawa watu ni mizigo kabisaaa tuwavumilie tu hivyohivyo!!tatizo NJAA
simple mind
Senk yuu Muuza Sura! Tena we cute b hebu muombe radhi Kiba... yaani Kiba huyu huyu aliye-stick kwenye mpango wake wa kutom-follow yeyote leo hii ayumbishwe na Team Wema! Tena kwa ninavyomuona Kiba, nahisi kwa sasa anatamani sana kuwa-follow watu muhimu lakini ameamua kuleta ukauzu na ku-sticky kwenye imani yake ile ile ya awali.
Nguvu ya hawa wasanii ni kubwa mno tuacheni utani.
Inaudhi mtu kila siku unahangaika kuikampenia Ukawa alafu linakuja jitu moja linapost linawazoa hadi wale ulokuwa ushawashawishi!!! No no not rait! Ally umejua kuniudhi wallah!
Yaani siamini ujue!sio kwa matusi yale mwenzangu!looh hatimae kingkiba kawaumbua mchana kweupeeee!
Yaani leo wamekula kona hawa jamaa!maana jinsi walivyokuwa wanachonga kana kwamba diamond amefanya dhambi kubwaaaa
Ahahahaha shikamoo Allykiba
Hapa nilipo mpaka natetemeka huenda kuna hacher wameiba password
ahahahahahaha hiyo account ya kingkiba haijahackiwa wala nini ni king kiba mwenyewe!na nasikia yeye na diamond wako mbioni kutoa nyimbo ya pamoja