Alikiba umetuangusha watanzania

Alikiba umetuangusha watanzania

Nimetazama hio post ya Ali kiba na nikagundua ali kiba amepost vile kutokana na influence fulani ya juu yake.
Na ndio maana hajaweka mbwembwe za aina yoyote zaidi ya hio caption.
Hio ni tofauti na diamond ambae kwa kutazama posts zake unagundua kwanza yupo kazini na pili anakipenda akifanyacho.

Ila kwa kumalizia naomba tuwaache tu wafanye wafanyayo ingawa wakifanya against na itikadi zetu inauma ila no way...
Kama ambavyo aunty Ezekiel akitoka kwenye kampeni za ukawa anakandwa kiuno na moze iyobo aliekua kwenye kampeni za ccm,bhasi hatuna budi waelewa tu na kuwavumilia hawa wasaniii...

Hasa ukizingatia siasa zenyewe za kiafrika ni za hovyo sana.
 
kila mtu ana maisha yake acheni kujadili maisha ya watu.hiyo ndo kazi inayomuingizia kipato.au hamjui kama kiba ni msanii.
 
Nimetazama hio post ya Ali kiba na nikagundua ali kiba amepost vile kutokana na influence fulani ya juu yake.
Na ndio maana hajaweka mbwembwe za aina yoyote zaidi ya hio caption.
Hio ni tofauti na diamond ambae kwa kutazama posts zake unagundua kwanza yupo kazini na pili anakipenda akifanyacho.

Ila kwa kumalizia naomba tuwaache tu wafanye wafanyayo ingawa wakifanya against na itikadi zetu inauma ila no way...
Kama ambavyo aunty Ezekiel akitoka kwenye kampeni za ukawa anakandwa kiuno na moze iyobo aliekua kwenye kampeni za ccm,bhasi hatuna budi waelewa tu na kuwavumilia hawa wasaniii...

Hasa ukizingatia siasa zenyewe za kiafrika ni za hovyo sana.

simple mind
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.

Jamaa wamefosiwa kufanya hivo,japo pia kuna mpunga wamepata
 
ahahahahaha!!yaani ni shida tupu!hawa watu ni mizigo kabisaaa tuwavumilie tu hivyohivyo!!tatizo NJAA

Kweli Dada Kimbley but acha nao kwa muda maana utaambiwa nao wana freedom of selection.

But sisi mashabaki freedom after selection we can't guarantee them.
 
Last edited by a moderator:
Senk yuu Muuza Sura! Tena we cute b hebu muombe radhi Kiba... yaani Kiba huyu huyu aliye-stick kwenye mpango wake wa kutom-follow yeyote leo hii ayumbishwe na Team Wema! Tena kwa ninavyomuona Kiba, nahisi kwa sasa anatamani sana kuwa-follow watu muhimu lakini ameamua kuleta ukauzu na ku-sticky kwenye imani yake ile ile ya awali.

oyo chige,aje mtu mzima!...e bhana kama upo karibu na tv,tune EATV kuna mazaa kaact kama mazaake na Mlela..nsaidie details zake privately kama unazo!
Halafu,hivi Hemed na Yusuf wakikaza hasa hawawezi kutufikisha somewhere?,tuachane na stori za Kanumba (R.I.P) kaondoka na Bongo Movie yake!
Sorry kwa kutoka nje ya mada!
Cc: Muuza Sura,wabishi kitambo,afu wanenu hawa!
Kino Massive!
 
Last edited by a moderator:
Nguvu ya hawa wasanii ni kubwa mno tuacheni utani.
Inaudhi mtu kila siku unahangaika kuikampenia Ukawa alafu linakuja jitu moja linapost linawazoa hadi wale ulokuwa ushawashawishi!!! No no not rait! Ally umejua kuniudhi wallah!

Mama wacha leo akina Kimbley watuchambe.
Kusema kweli sijapendaaaaaa!
Mxiiu zake
 
Last edited by a moderator:
Heeeh! Sijaingia jf siku nyingi, kiba nae kawasaliti??? Mlimsifia mno alivyoacha kutokea jangwan kwenye uzinduzi wa ccm na uzi wa kupongeza mkamfungulia, ooh ndio msanii pekee anayejitambua, kiba hana upuuzi huo, yapo wapi sasa? team kiba muachage vidomodomo jamani,ukasahau kuwa njaa haina shujaa, mlimnanga mno diamond jamani khaaaa!!! Kiba piga helaaaaaa mwanangu wanaokudiss sasa 26 oct. Wataanza upyaaaa kukushobokea.
 
Yaani siamini ujue!sio kwa matusi yale mwenzangu!looh hatimae kingkiba kawaumbua mchana kweupeeee!

Yamewashukaje?? Mpaka wakajikuta uzi wa kumdiss wanauanzisha wenyeweee!! Sasa ule wakumpongeza wameufuta au??
 
Yaani leo wamekula kona hawa jamaa!maana jinsi walivyokuwa wanachonga kana kwamba diamond amefanya dhambi kubwaaaa

Ahahahaha shikamoo Allykiba

Nimejikuta nampenda kiba bureeeeee dawa ya mashabiki maandazi ni kuwadumbukiza kwenye chai ya moto,kiba kawafanya vile haijawahi tokea.
 
Hivi alikiba ndio kusema hukuziona zile sifa ulizomwagiwa na mashabiki zako au?? Kuwadhalilisha hivyo ndio nini lakini??
 
Back
Top Bottom