Alikiba umetuangusha watanzania

Tatizo IQ hahahaaa Kiba ana IQ kubwa kuliko mashabiki wake...IQ yake inakaribiana na Dr anayetoa le tamko leoo....oyeeee
Uko sahihi, onahitaji uelewa kujua kwa nini watu tumerudi kwa makufuli.
 
Masikini poleni....Bora mie CCM siipendi lakini nampenda Diamond, stress zikinizidia najipoza na nyimbo zake...Haya maisha ukiyachukulia serious unakufa kabla ya siku zako...Haya Dr nae anatoa le tamkoz Leo sijui watu watajinyonga?

Mwenyewe nipo kwenye harakati za kuhakikisha ccm tunaingoa na mizizi yake na huo mti kuuchoma moto kabisa usijeota kwa bahati mbaya LAKINI DIAMOND NAMPENDA NA NITAENDELEA KUMPENDA DAIMA NA MILELE
 
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Ushabiki wako hautoi Ugali, Kundi lako mpo wachache Kama una kadi yake Rudisha.
 
Yani ndo ujue walokuwa wanamponda Diamond kuhusu CCM sio UKAWA ni wale haters....

Nilisema mimi,unaona ID mpya kabisaaa inakuja na comment "nilikuwa nampigia diamond kura saaaanaaaaa ila kuanzia sasa simpigii tena"ukimtress back hutamuona popote alipokwisha kumsupport diamond, sio kuumbuka hukuuu
 
Nimejikuta nampenda kiba bureeeeee dawa ya mashabiki maandazi ni kuwadumbukiza kwenye chai ya moto,kiba kawafanya vile haijawahi tokea.

Ahhahaha!walikua wanampondaje diamond sasa?!walifungua ID kumikumi kujifanya wao walikua wanampigia sana kura na kumbe Majinun tupu hakuna hata shabiki wa maana
 
Hla jaman mi nampenda nifaa coz kila post anatajwa nahc naanza kumpenda kabisa maana ukipata bahat ya kumpata yule mwanamke itakuwa raha kweli lazma nyumba hiwe na changamoto
 
Hla jaman mi nampenda nifaa coz kila post anatajwa nahc naanza kumpenda kabisa maana ukipata bahat ya kumpata yule mwanamke itakuwa raha kweli lazma nyumba hiwe na changamoto

Hahahaaaaa mkuu nyota yangu ni kali kama ya mzee wangu kipenzi Lowassa.
Na ni lazima changamoto ziwepo, mie mpambanaji hodari ati...
Siogopi yeyote zaidi nasimamia kile ninachokiamini.
 
Hahahaaaaa mkuu nyota yangu ni kali kama ya mzee wangu kipenzi Lowassa.
Na ni lazima changamoto ziwepo, mie mpambanaji hodari ati...
Siogopi yeyote zaidi nasimamia kile ninachokiamini.

Kweli nifah lakn katika swala la uchaguzi wa kipi upende na kipi ufatilie naona kama una "maamuz magumu" na swala jingne na upendi kukubali ukweli, huwa najiuliza kwann humpendi "diamond" zaidi ya mzk wake na hupendi kuheshimu kipaji chake.

By ze way nawapenda wasanii wote wawili ally n Dmond lkn D namkubali zaidi D kwa sababu ya hustle zake na jinsi anavyochangamkia fursa.

Afu jua NimeKupenda bure 😘😘😘😍😍😍
 
Dah, the time wakati unaandika hii message was far away kwahiyo wala sikuona hiyo kitu! Kuhusu Mlela na PhD, ngoja Mlela nimuweke pending nimzungumzie Hemed.

Hemed namkubali sana kwenye movie kuliko muziki... na Hemed anaweza kuuza zaidi kwenye movie kuliko anavyoweza kuuza kwenye muziki...! Yule jamaa ni vile tu hajabahatika kupata script iliyoenda shule lakini ni bonge la muigizaji! Na hili la kutopata script zilizoenda shule wanasababisha zaidi wenyewe... wanadhani anyone can write a script na matokeo yake hawana best offer; na wala hawafahamu kwamba unaweza kwenda Kariakoo na kuchukua watu 100 at random na hapo ukapata waigizaji wazuri zaidi ya 50 lakini unaweza kufanya hivyo hivyo kwa upande wa script na usipate mwandishi mzuri hata mmoja! They're all not serious linapokuja suala la script! Kuna mtu aliwahi kunipa kazi yake; namuuliza muda wa kukamilisha kazi; akajibu anaihitaji within 2 weeks!!! Nikamjibu wazi kwamba am not that genius wa kuweza kumaliza script hata ndani ya mwezi mmoja achilia mbali hizo wiki mbili!
 
Masikini poleni....Bora mie CCM siipendi lakini nampenda Diamond, stress zikinizidia najipoza na nyimbo zake...Haya maisha ukiyachukulia serious unakufa kabla ya siku zako...Haya Dr nae anatoa le tamkoz Leo sijui watu watajinyonga?
You're very genius Kim nana... yaani watu wanataka wakimpenda msanii fulani basi pia demu au basha wake awe ni yule wanayemkubali wao; mavazi yake yawe yale wanayoyakubali wao; itikadi zake ziwe ni zile wanazounga mkono wao; anakoishi, kuwe kule wanakotaka wao... wanasahau, ni wao ndio walimfuata yeye na wanasahau kwamba, ukipenda boga penda na ua lake, na kama hulitaki, lichume kisha litupe jalalani kimya kimya!
 
Last edited by a moderator:
nadhani ni haki yake km mtanzania au km sisi tunaoonesha hisia na mapenzi yetu kwa wale tunaotaka kuwachagua...SIDHANI KM KUNA TATIZO HAPO!!!!
 
Hahahaaaaa mkuu nyota yangu ni kali kama ya mzee wangu kipenzi Lowassa.
Na ni lazima changamoto ziwepo, mie mpambanaji hodari ati...
Siogopi yeyote zaidi nasimamia kile ninachokiamini.

Huna nyota yoyote wewe mchawi tu,huna jipya dogo
 
Jamani si kwa misifa hiyo ya ujinias.....Nimemjua Dai kupitia muziki, naupenda muziki wake na ntaacha kumpenda siku akiimba muziki nisioupenda ( bahati mbaya napenda miziki yoteee hadi singeliii hahahaaa). Mambo yake ya siasa namuachia mwenyewe....
 
Ahahahhahahaaaaaaaaa!!umenichekesha sana kwa hili jibu
 
Nilisema mimi,unaona ID mpya kabisaaa inakuja na comment "nilikuwa nampigia diamond kura saaaanaaaaa ila kuanzia sasa simpigii tena"ukimtress back hutamuona popote alipokwisha kumsupport diamond, sio kuumbuka hukuuu

Hahahaa tatizo Dai wetu anawanyima rahaaa, wakiona habari inamuhusu lazima waje mbio mbio matusi kibaooo, Mara oooh mtoto wa Tandale, sa mbona huyu mtoto wa kariakoo uswahilini hawatoi povuu....tatizo sio wasanii kushabikia siasa, Tatizo lao ni Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…