NAMKONG'O
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 519
- 133
Uko sahihi, onahitaji uelewa kujua kwa nini watu tumerudi kwa makufuli.Tatizo IQ hahahaaa Kiba ana IQ kubwa kuliko mashabiki wake...IQ yake inakaribiana na Dr anayetoa le tamko leoo....oyeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi, onahitaji uelewa kujua kwa nini watu tumerudi kwa makufuli.Tatizo IQ hahahaaa Kiba ana IQ kubwa kuliko mashabiki wake...IQ yake inakaribiana na Dr anayetoa le tamko leoo....oyeeee
Masikini poleni....Bora mie CCM siipendi lakini nampenda Diamond, stress zikinizidia najipoza na nyimbo zake...Haya maisha ukiyachukulia serious unakufa kabla ya siku zako...Haya Dr nae anatoa le tamkoz Leo sijui watu watajinyonga?
Ushabiki wako hautoi Ugali, Kundi lako mpo wachache Kama una kadi yake Rudisha.Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Afadhali mambo ya team yanaisha siasa oyeeeeeeeeeeeeeeee
Yani ndo ujue walokuwa wanamponda Diamond kuhusu CCM sio UKAWA ni wale haters....
Ali Kibaaa njaa itakuua!!!!!
Nimejikuta nampenda kiba bureeeeee dawa ya mashabiki maandazi ni kuwadumbukiza kwenye chai ya moto,kiba kawafanya vile haijawahi tokea.
Hla jaman mi nampenda nifaa coz kila post anatajwa nahc naanza kumpenda kabisa maana ukipata bahat ya kumpata yule mwanamke itakuwa raha kweli lazma nyumba hiwe na changamoto
Hahahaaaaa mkuu nyota yangu ni kali kama ya mzee wangu kipenzi Lowassa.
Na ni lazima changamoto ziwepo, mie mpambanaji hodari ati...
Siogopi yeyote zaidi nasimamia kile ninachokiamini.
Dah, the time wakati unaandika hii message was far away kwahiyo wala sikuona hiyo kitu! Kuhusu Mlela na PhD, ngoja Mlela nimuweke pending nimzungumzie Hemed.oyo chige,aje mtu mzima!...e bhana kama upo karibu na tv,tune EATV kuna mazaa kaact kama mazaake na Mlela..nsaidie details zake privately kama unazo!
Halafu,hivi Hemed na Yusuf wakikaza hasa hawawezi kutufikisha somewhere?,tuachane na stori za Kanumba (R.I.P) kaondoka na Bongo Movie yake!
Sorry kwa kutoka nje ya mada!
Cc: Muuza Sura,wabishi kitambo,afu wanenu hawa!
Kino Massive!
You're very genius Kim nana... yaani watu wanataka wakimpenda msanii fulani basi pia demu au basha wake awe ni yule wanayemkubali wao; mavazi yake yawe yale wanayoyakubali wao; itikadi zake ziwe ni zile wanazounga mkono wao; anakoishi, kuwe kule wanakotaka wao... wanasahau, ni wao ndio walimfuata yeye na wanasahau kwamba, ukipenda boga penda na ua lake, na kama hulitaki, lichume kisha litupe jalalani kimya kimya!Masikini poleni....Bora mie CCM siipendi lakini nampenda Diamond, stress zikinizidia najipoza na nyimbo zake...Haya maisha ukiyachukulia serious unakufa kabla ya siku zako...Haya Dr nae anatoa le tamkoz Leo sijui watu watajinyonga?
Hahahaaaaa mkuu nyota yangu ni kali kama ya mzee wangu kipenzi Lowassa.
Na ni lazima changamoto ziwepo, mie mpambanaji hodari ati...
Siogopi yeyote zaidi nasimamia kile ninachokiamini.
Hahahaaaaa asante sana mkuu.Huna nyota yoyote wewe mchawi tu,huna jipya dogo
You're very genius Kim nana... yaani watu wanataka wakimpenda msanii fulani basi pia demu au basha wake awe ni yule wanayemkubali wao; mavazi yake yawe yale wanayoyakubali wao; itikadi zake ziwe ni zile wanazounga mkono wao; anakoishi, kuwe kule wanakotaka wao... wanasahau, ni wao ndio walimfuata yeye na wanasahau kwamba, ukipenda boga penda na ua lake, na kama hulitaki, lichume kisha litupe jalalani kimya kimya!
Jamani si kwa misifa hiyo ya ujinias.....Nimemjua Dai kupitia muziki, naupenda muziki wake na ntaacha kumpenda siku akiimba muziki nisioupenda ( bahati mbaya napenda miziki yoteee hadi singeliii hahahaaa). Mambo yake ya siasa namuachia mwenyewe....
Nilisema mimi,unaona ID mpya kabisaaa inakuja na comment "nilikuwa nampigia diamond kura saaaanaaaaa ila kuanzia sasa simpigii tena"ukimtress back hutamuona popote alipokwisha kumsupport diamond, sio kuumbuka hukuuu