Ahahahhahahaaaaaaaaa!!umenichekesha sana kwa hili jibu
Hahahaa unacheka hiyo singeliii, mweeh nilikuwa siipendi, siku moja nkaisikiliza...noooma sanaaa....Tena Dai afanye remix ya ile mamaa Aminaaaa....hapana chezea mutoto ya uswaziii...
Dah, the time wakati unaandika hii message was far away kwahiyo wala sikuona hiyo kitu! Kuhusu Mlela na PhD, ngoja Mlela nimuweke pending nimzungumzie Hemed.
Hemed namkubali sana kwenye movie kuliko muziki... na Hemed anaweza kuuza zaidi kwenye movie kuliko anavyoweza kuuza kwenye muziki...! Yule jamaa ni vile tu hajabahatika kupata script iliyoenda shule lakini ni bonge la muigizaji! Na hili la kutopata script zilizoenda shule wanasababisha zaidi wenyewe... wanadhani anyone can write a script na matokeo yake hawana best offer; na wala hawafahamu kwamba unaweza kwenda Kariakoo na kuchukua watu 100 at random na hapo ukapata waigizaji wazuri zaidi ya 50 lakini unaweza kufanya hivyo hivyo kwa upande wa script na usipate mwandishi mzuri hata mmoja! They're all not serious linapokuja suala la script! Kuna mtu aliwahi kunipa kazi yake; namuuliza muda wa kukamilisha kazi; akajibu anaihitaji within 2 weeks!!! Nikamjibu wazi kwamba am not that genius wa kuweza kumaliza script hata ndani ya mwezi mmoja achilia mbali hizo wiki mbili!
Kiba mtoto wa town atakuwaje chadema.. Watu wa ukawa ni watu waliojaa stress na njaa kali mpaka usoni. Uyo lowassa wenu mkampe nchi ya arusha au moshi.
Jinsi daimond alivyopost kuhusu ccm na kiba ni tofauti hamana kejeli wala vijembe kwa kiba na kiba sio ccm yule ni behind the scene utafanyaje wakati wao ndo wenye ukitaka kuamini hvyo hebu nitajie sehemu aliopiga show kiba ya siasa mwaka huu sema hana jinsi ni nguvu ya umma imemsukuma[/
Kapiga show mtwara!muziki ni biashara kwa hawa madogo...we ukiwa ña kiduka chako cha spare hutakataa kumuuzia oil mteja kisa kavaa sare ya CCM!hebu waachen bana...
Alikiba mi shabiki wako damu ila kwa huu utoto uliofanya insta wa kupost magufuli umenikera sana na kunifedhehesha, nipo najiandaa kufanya umamuzi mgumu juu ya hili.
Hivi alikiba ndio kusema hukuziona zile sifa ulizomwagiwa na mashabiki zako au?? Kuwadhalilisha hivyo ndio nini lakini??
Shardcole pwilo pitiA hapaBado mie shabiki wake.
Ila akianza kutunga nyimbo za kukandia UKAWA au akianza kuweka picha ya CCM kwenye insta yake nitamkimbia rasmi but for now mimi ni shabiki wake.
Siri ipo kwenye sanduku la kura.
Afu ngoja nivujishe siri....
TEAM WEMA NDIO WALIOMTAKA KIBA AANDIKE VILE KWA KUWA WANAMPAGA SAPORT.
Ninachojua kiba ni UKAWA ila ameamua tuu asiangushe team WEMA.
Kiba for real
Diamond kapata sana favour kutoka kwa Jk na mambo yake mengi yamemunyookea mwenzangu na miye sasa. Hawa wasanii wakibongo ni janga la kitaifa.
Diamond kapata sana favour kutoka kwa Jk na mambo yake mengi yamemunyookea mwenzangu na miye sasa. Hawa wasanii wakibongo ni janga la kitaifa.
Hafu bongo movie ndo vimbele front wanatumika baada ya uchaguzi wanadapiwa. Walivo wajinga wangejiunga kudai masilahi yao ya kazi mana msanii huwezi kuwa top siku zote kuna zama kupita mana wasanii kama wa Hollywood kina Jay z pdidy kazi zao zimewatajirisha. Ila Bongo ubwabwa wa Mlimani city umewapumbaza. Hao bongo movie filamu zao jero na hazina soko. Wangekuwa wana vyombo imara vya kusimamia masilahi yao wasingekua wana shabia vitu kwa kufosiwa.Wale bongo muvi ndo chenga hawajasadiwa chochote zaidi ya dinner ila hawakomi ngoja kazi zao ziendelee kuuzwa buku kariakoo na ubungo cjui wana akili gani