Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

HUYU MTOA MADA AMEANZA VIZURI SAANA,NIKAJUA ATAONGEA KITU KINACHOENDANA NA KAZI YAKE HUYO ALI KIBA,,,KUMBE ANALALAMIKA ATI DEM MUUZA DUKA HAFANANI NAE.MARA KITANDA.
JE ULITAKA APIGE PICHA NA WEWE?
JE ULITAKA AKUTONGOZE WEWE?
KITANDA KIPI CHENYE HADHI??AU MMESHAZOEA WASANII WENYE KUJIPROUD ANAZUGA KUPIGA MAPICHA KTK KITANDA KIZURI.HLF KWA BAADAE HATA HELA YA HIO HOTELI HANA,KULIPIA HICHO CHUMBA.
KIBA MTT MTAANI HANA NYODO.KAMA CASH ANAYO.KAMA JINA ANALO KAMA KIPAJI ANACHO...
ACHENI ROHO ZA KWANINI..
KIBA MTU WA WATU HAMDHARAU MTU JUU YA UWEZO ALIONAO..
TATIZO MLISHAZOEA WASANII WENYE NYODO.
Mfano hai,,,,Dai alikua na mwanamke nzuri milionea.Leo huyo mdada yukwapi??pamoja na uzuri wake na Pesa zake..
"
DONT MESS WITH KIBA"

We Pambana Na Hali Yako Tu
Povu zitooooo

Kaguswa bwana ako basi ni shida tupu

"Don't mess with kiba"
 
Mleta post hauko sahihi hicho sio kitanda ni kochi na Kiba hakupiga picha moja kapiga picha na mashabiki wake wengine sehemu hiyo hiyo
0a9a1335a35388110727d809fe03cd3b.jpg
b45d31dcc7b84d8e952dd426b54e44ac.jpg
c88541f7e1f5dfdabd114a25b35f4722.jpg

NB😛hoto nimenyonya kwa page ya dengue.
Thread Closed
Hakuna haja ya kuendelea na thread
 
Mtoa mada umelipwa bei gani na Dimond kuja kuweka uongo kuhusu Kiba?!
 
Ivi mwanamke mwenye hadhi yukoje? 1.yule maarufu wa kuwa na mabwana wengi? 2.yule anayekaa uchi mitandaoni kila siku? Kiba yuko sahihi sana ni bora kuwa na mwanamke muuza mkaa anayekupa pumzi bila bughuza kuliko kuwa na mwanamke maarufu na mlimbwende anayepasua Kichwa.
 
Hahahahaha alikiba huwa halali hoteli ye analala zake kwa washkaji madeni anayo ni mengi yakulipa
 
Hili demu nimelielewa aisee dah.... Sema muonekano wake kama ana makovu makovu lina ngwengwe nini....

Mwenye mawasiliano na huyu demu tafadhali ani pm number zake...

Mengine nawaachieni sijaona point kwenye maelezo ya mleta mada..... Nimeona point tu tena za muhimu kwenye hizo picha.....
Mkuu kumbe nawe demu mwenye makovu huwa unawaza ameungua![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tanzania kwasasa FESTA ni tamasha liloshika kasi na kupendwa na watu wengi kutoka na kuwa na Wasanii wengi wanaopendwa na watu Tofauti tofauti tofauti! Haina ubishi kwa kiingilio cha Elfu 9/10 ni watu wengi sanaa wanao ingia kwenye Show!

Kati ya wasanii waliopo kwenye Tamasha Hili ni pamoja na ALIKIBA! Kilicho nisikitisha ni baada ya kuona picha alizo piga alikiba Hotel aliofikia akiwa na Mdada inaesemekana ni MUUZA DUKA! Sasa nilicho kuwa najiuliza KWA KITANDA KILE na ukubwa wa show Je wasanii wetu hawa wanalipwa vizuri kwelii au wanafanyishwa kazi kwa malipo kidogo? kwa kitanda kile ni kwamba hawa wasanii wanalala kwenye hotel ambazo hazizidi elfu 25 kwa siku je hiyo ni hadhi yao kweli au wanaonewa?

kingine ni Je Alikiba Alipo kuwa anapiga picha yule inaesemekana ni Shabiki wake alifikiria kabla ya kutenda au alizimishwa na Meneja wake? Mana Wamepiga picha wakiwa nje wakiingia hadi chumbani picha zikaendelea swali ni Je ALIKIBA HAJAMLA YULE DADA KWELI?

Ila bado Mm nasema kile KITANDA sio Hadhi ya ALIKIBA na msanii mwingine yeyote! Si kitakuwa kinapiga kelele! HAPANA FIESTA badirisheni Utaratibu kama MWANZA wanalala sehemu ile Je KIGOMA watalala sehemu Gani?View attachment 594895View attachment 594896View attachment 594898View attachment 594900View attachment 594903
Ali kiba hana uwezo wa kuchukua mademu wakali, demu kama huyo ndio saizi yake.
 
Back
Top Bottom