Alikiba unayofanya/kufanyiwa si hadhi yako

Povu zitooooo

Kaguswa bwana ako basi ni shida tupu

"Don't mess with kiba"
 
Mleta post hauko sahihi hicho sio kitanda ni kochi na Kiba hakupiga picha moja kapiga picha na mashabiki wake wengine sehemu hiyo hiyo
NB😛hoto nimenyonya kwa page ya dengue.
Thread Closed
Hakuna haja ya kuendelea na thread
 
Mtoa mada umelipwa bei gani na Dimond kuja kuweka uongo kuhusu Kiba?!
 
Ivi mwanamke mwenye hadhi yukoje? 1.yule maarufu wa kuwa na mabwana wengi? 2.yule anayekaa uchi mitandaoni kila siku? Kiba yuko sahihi sana ni bora kuwa na mwanamke muuza mkaa anayekupa pumzi bila bughuza kuliko kuwa na mwanamke maarufu na mlimbwende anayepasua Kichwa.
 
Hahahahaha alikiba huwa halali hoteli ye analala zake kwa washkaji madeni anayo ni mengi yakulipa
 
Mkuu kumbe nawe demu mwenye makovu huwa unawaza ameungua![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ali kiba hana uwezo wa kuchukua mademu wakali, demu kama huyo ndio saizi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…