Alikiba vs diamond

Barcelona763

Member
Joined
Mar 9, 2018
Posts
26
Reaction score
21
Hadi wa Leo diamond hajawahi kukili alimfuta alikiba kwenye lala salama .
diamond agekuwepo wapi Kama si alikiba alimpa nafasi Bob junior amrekodi diamond. Bila international collabo diamond si chochote huwezi kumliganisha na alikiba. Mbona Ana mwelekeo katika muziki wake anashindana na aslay Nani ametoa nyimbo yingi kwa mwaka na ujifunzi lolote toka nyimbo zake . Wasanii Kama mwanafa hajafanya international collabo bado yupo msanii Bora wa bongo flava . Alikiba anabadilisha taswira ya bongo flava ambayo huwezi kumcopy ukimcopy itajulikana ashafanya muziki na live band diamond hajawahi na muhimi Sana mbona diamond hajawahi kufika level yake . Mwisho nimejifunza mengi kuhusu muziki kwa sababu ya alikiba Asante Sana King kiba .wachache wataelewa ninachozungumza hapa .
 
Umeandika kama unakimbizwa na mbwa koko. Ila ujumbe umefika
 
umeweka poll ya nini kama mshindi wako ushamtaja ??
 
Jamaa yenu ndio tunamsahau tena, mlishazoea kubebwa kila siku nyie coming soon na sasa kishatoa boko, alafu watu wamemchunia kimya pamoja na promo yake ya masaa 18 lkn bado kutoa boko, mwenzake yule kule. Jamaa mziki na enzi zake zishaisha, sasa hivi amebaki kama parasite na ndio maana kwa kulijua mnajitahidi kumlinganisha lkn hawalingani wala kufanana hata kidogo. Alafu nimesahau hizo mofaya zimeishia wapi? Huku kwenye drink industry hayupo mondi mshazoea kubebwa (huko bila kuwekeza ela za promo, kuwa na plan na kupata watu wanajua fitina atazinywa mwenyewe na familia yake biashara si lele mama) . Kuhusu collabo hajakatazwa kufanya na kama hujui number 1 original ilichukua tuzo 3 channel 0, nitampata wapi imeshika no 1 trace Africa na kuingia 5 bora MTV base . Alafu kwa nn mnapenda kumlinganisha jamaa yenu na mondi, au mshajua jamaa wenu ni dhaifu anahitaji mtu strong kama mondi ili ambebe na safari hii mondi kachuna na view YouTube zikabuma na ikiwezekana jamaa awachunie hivyo hivyo, kila mtu apambane na hali yake.Harmonize na vanny washampita, wanakimbiza huko iTunes na YouTube.
 
Ambassador wa Mofaya (Ommy dimpoz) anaumwa ugonjwa nisioweza kuuweka wazi hapandio maana Mofaya bado haijatoka.

-Alikiba On Shilawadu
 
Ambassador wa Mofaya (Ommy dimpoz) anaumwa ugonjwa nisioweza kuuweka wazi hapandio maana Mofaya bado haijatoka.

-Alikiba On Shilawadu
Kishafeli huyo, we Dr dree ashindwe kuingiza headphone zake sokoni, kisa kendrick lamar anaumwa huoni sababu ya kipuuzi, yy anadai ndiye mmiliki wa mofaya, sasa mofaya na ugonjwa wa ommy unahusiana nini, kwa hiyo ommy akifa mofaya nayo inakufa.Biashara sio lele mama, biashara ni vita na lazima uwe na plan na watu wa kupambana mpaka bidhaa isimame, angalia mo energy, azam energy, kung fu, monster hivi vinywaji vina timu ya watu zaidi ya 30 wakuipush ktk market kuanzia brand manager, marketing manager nk, yy kishazoea kubebwa na mondi huko mondi hayupo.
 
Diamond tumuachage2 kama alivyo.kumlinganisha na cinderela haiwezi kuwa sawa.
 
Malizia kukata gogo mkuu uje aundike upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…