Anajidai ana kiburi cha mafanikio na kujiona nunda.Wala sija mpambanisha nijaribu kuweka sawa kua hajui kufany bizness
Elimu aliyopata shule ilimsaidia kutooa mapema, mbali na hilo hakuna chochote.Hilo ndo tatizo lake kubwa. Yaan hata harmonize ameiga
Elimu aliyopata shule ilimsaidia kutooa mapema, mbali na hilo hakuna chochote.
Sikio la kufa hilo.Haki naamini. Sjui tumsaidieje