Shaibu Hiwalisi JF-Expert Member Joined Feb 11, 2017 Posts 603 Reaction score 582 Aug 29, 2017 #1 Alikiba ni bonge la msanii hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, ni mbunifu, aibi mashairi wala melody kwa mtu yoyote yule. Hua anakaa kimwa mda mrefu na anakuja na kitu kizuri zaid na ni cha levo ya kimataifa. Viva kingkiba.
Alikiba ni bonge la msanii hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, ni mbunifu, aibi mashairi wala melody kwa mtu yoyote yule. Hua anakaa kimwa mda mrefu na anakuja na kitu kizuri zaid na ni cha levo ya kimataifa. Viva kingkiba.
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Aug 29, 2017 #2 umeshakunywa Chai? Sent using Jamii Forums mobile app
za chembe JF-Expert Member Joined Jul 22, 2017 Posts 1,064 Reaction score 4,094 Aug 29, 2017 #3 Aisee kweli ni benge Sent using Jamii Forums mobile app
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 45,757 Reaction score 246,786 Aug 29, 2017 #4 Mwenye Pesa Ndio tajiri.
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Aug 29, 2017 #5 kunduva said: Mwenye Pesa Ndio tajiri. Click to expand... TRA walimbana akalialia kwenye live TV kwa Magu
kunduva said: Mwenye Pesa Ndio tajiri. Click to expand... TRA walimbana akalialia kwenye live TV kwa Magu
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 45,757 Reaction score 246,786 Aug 29, 2017 #6 Turnkey said: TRA walimbana akalialia kwenye live TV kwa Magu Click to expand... Sio WA kwanza kubanwa na Tra .
Turnkey said: TRA walimbana akalialia kwenye live TV kwa Magu Click to expand... Sio WA kwanza kubanwa na Tra .
Daviie JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,294 Reaction score 1,480 Aug 29, 2017 #7 Tumekusikia mkuu lkn ukweli ni kwamba kibakuli wa kawaida sana, public sympathy zinampaisha Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekusikia mkuu lkn ukweli ni kwamba kibakuli wa kawaida sana, public sympathy zinampaisha Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa fitna JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 341 Reaction score 188 Aug 29, 2017 #8 [HASHTAG]#Kiba[/HASHTAG] pasua kichwa Sent using Jamii Forums mobile app
dem boy JF-Expert Member Joined Nov 4, 2016 Posts 6,580 Reaction score 15,739 Aug 29, 2017 #9 Kweli benge la msanii.....ila umesahau hii seduce me ilikuwa tumsikie neyo ila mr.pasua ndonga alivyojawa na dharau akamtupia kule aisee
Kweli benge la msanii.....ila umesahau hii seduce me ilikuwa tumsikie neyo ila mr.pasua ndonga alivyojawa na dharau akamtupia kule aisee