Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Alikiba ni bonge la msanii hapa tanzania na afrika mashariki kwa ujumla, ni mbunifu, aibi mashairi wala melody kwa mtu yoyote yule. Hua anakaa kimwa mda mrefu na anakuja na kitu kizuri zaid na ni cha levo ya kimataifa. Viva kingkiba.