ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,874
Well saidDiamond tyu ndo ana hela za kununua views lakn wasanii wengne hawana??? Bac Diamond ana hela
Ahaa kwa hiyo umekubali kuwa Ukitaka views nyingi nenda YouTube kawaida, na ukitaka real views nenda VEVOMange anawaharibu akili.
Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!
Enjoy good music....
Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.Diamond tyu ndo ana hela za kununua views lakn wasanii wengne hawana??? Bac Diamond ana hela
HallelujahMange anawaharibu akili.
Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!
Enjoy good music....
mmmmh aiseee kweli mfa maji haishi kutapatapa Kama alikiba na vevo yake ivi mkuu ebu badilika hao VEVO wanamlipa mtu sasa Kama alikiba analipwa ila kwa diamond hajathubutu unahisi mond akiingia vevo kiba ataonekana kweli??kumbe unaangalia views??kumbuka hata kwenye mikutano ya kisiasa wanaokuja pale sio kwamba wote ni watu wako wengine wanakusikiliza na kukucheka tu!!,Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hispitali ya Rufaa.
VEVO ni wafanya biashara kama wafanyabiashara wengine na kila mtu ana option ya kuchagua ni wapi panafaa kwa biashara yake...Sio kisa wewe unapenda kitu flani basi ni lazima na mwingine apende hicho hicho.Ahaa kwa hiyo umekubali kuwa Ukitaka views nyingi nenda YouTube kawaida, na ukitaka real views nenda VEVO