AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

ntemintale

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
952
Reaction score
1,874
Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hospitali ya Rufaa.
 
Mond hajakimbia vevo, kumbuka yeye ndio aliwahi kuwapa somo wasanii wa Tanzania jinsi ya kunufaika na vevo(km hufatilii mziki hutojua hili) na ni mond ndo anaongoza kuwa na wimbo wenye views nying kuliko msanii yyte EA, marry you ina 16m. Ila mfanya biashara yyte ukiona ki2 hakina maslah cdhan km utajishughulisha nacho, youtube channel yake ina subscibers laki 7+ unahitaj aendelee kung"ang"ania kupandish video vevo?? Inahtaj akili ndogo sana kulielewa hili. Watanzania(hasa mashabk wa Ally kiba) huwa wana maneno kuliko kusapot kaz, seduce me iliiacha mbal sana zilipendwa ila kaangalie ss hiv hizo kaz halaf uone ipi ina views kibao. wcb fans wanakimbiza mwiz kimya kimya
 
Mange anawaharibu akili.

Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!

Enjoy good music....
Ahaa kwa hiyo umekubali kuwa Ukitaka views nyingi nenda YouTube kawaida, na ukitaka real views nenda VEVO
 
Hahahaha mtoa post kakimbia hahahahahahah daah!!!
 
Diamond tyu ndo ana hela za kununua views lakn wasanii wengne hawana??? Bac Diamond ana hela
Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
 
Mange anawaharibu akili.

Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!

Enjoy good music....
Hallelujah
 
Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hispitali ya Rufaa.
mmmmh aiseee kweli mfa maji haishi kutapatapa Kama alikiba na vevo yake ivi mkuu ebu badilika hao VEVO wanamlipa mtu sasa Kama alikiba analipwa ila kwa diamond hajathubutu unahisi mond akiingia vevo kiba ataonekana kweli??kumbe unaangalia views??kumbuka hata kwenye mikutano ya kisiasa wanaokuja pale sio kwamba wote ni watu wako wengine wanakusikiliza na kukucheka tu!!,
 
Ahaa kwa hiyo umekubali kuwa Ukitaka views nyingi nenda YouTube kawaida, na ukitaka real views nenda VEVO
VEVO ni wafanya biashara kama wafanyabiashara wengine na kila mtu ana option ya kuchagua ni wapi panafaa kwa biashara yake...Sio kisa wewe unapenda kitu flani basi ni lazima na mwingine apende hicho hicho.

Youtube kuna channel nyingi sana....jaribu kuwa mdadisi na sio kufata mkumbo..Ali Kiba ana mziki wake na Dai pia furahieni muziki acheni ligi ambazo haziwalipi chochote

Na umeambiwa hapo juu Marry You ipo VEVO na in a viewers wa kutosha tu sasa sijui mlitakaje.

Enjoy Good music.
 
Back
Top Bottom