ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,874
- Thread starter
-
- #41
Basi msiseme Domo kavunja rekodi ya AlikibaVEVOHAPA NDO NAAMINI KUNA WATU WANAFKIRI KWA KUTUMIA MAKA."####OO .......DIAMOND AKIFANYA OOOH KANUNUAA....IWE IVO ICWE HIVO.THAT MAN IS EXTRAORDINARY....ATA KAMA KWELI KANUNUA VIEWERS ....BAC NI MUTOTO YA MUJINI.....
You too smart dada endelea kum seduce King[emoji28][emoji28][emoji28] Alikiba una "Mafansi" wajinga wajinga sana. Akili zao ni Za kushikiwa na Mange.
NI AIBU KWA KIJANA RIJALI KUOMBA KUTOMASWA TOMASWA (seduce me). Ni viashiria vya Tabia Chafu.
aha kumbe ni Featuring/collabo nilidhani kaimba pekee yake kama Alikibadiamond ft ne yo 16m au hii sio vevo akifikisha huyo kibakuli wen
Mbona unahamisha Magoli, marry you. haikuvunja rekodi 1 m views ndani ya 48 hours. Hapa tunaongelea rekodi ya kufikisha 1 M ndani ya 48 hrs, upooooo?Mkuu kwanini unatumia nguvu nyingi mwisho wa siku unaaibika??? Tumia data kupinga hoja.. Kila muda unaambiwa marry you ina views 16 mil huko huko vevo ila bado umekalia majungu.... Au unahisi marry you iko wapi Facebook ya bure??
Nachukia sana kutumia mawazo ya mtu kucopy na kule hapa kana kwamba wewe ndiye uliyewaza jambo hili.Halafu ukiulizwa swali dogo tu kwamba unajua mastaa wangapi wakubwa ambao hawako vevo na wanatumia u tube tu na wana viewerz kibao, utarudi tena insta kuangalia mange amejibu nn nawee ulete hapa.Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hospitali ya Rufaa.
Ila macho yanaona kuwa Diamond ni tajiri zaidi ya Alikiba, kama feke views zinampatia mtonyo, sioni tatizo.Alikiba yuko VEVO account wakati Diamond yuko YouTube kawaida. Mastaa wengi duniani wako VEVO account ambako huwezi kununua views au kuchezea views (robotic views). Msanii hulipwa pesa kwa views anazopata. Kama kweli Diamond hana kamchezo kachafu anakofanya kwenye views basi aje VEVO. Na kama atabaki huko basi kamwe asilinganishwe na alikibaVEVO, kwa sababu hiyo itakuwa sawa na kulinganisha Dispensary ya kijijini na Hospitali ya Rufaa.
Umeshaitazama seduceme lakini?Nachukia sana kutumia mawazo ya mtu kucopy na kule hapa kana kwamba wewe ndiye uliyewaza jambo hili.Halafu ukiulizwa swali dogo tu kwamba unajua mastaa wangapi wakubwa ambao hawako vevo na wanatumia u tube tu na wana viewerz kibao, utarudi tena insta kuangalia mange amejibu nn nawee ulete hapa.
Za kuambiwa changanya na zako.
Umri wa akili au umri wa kuzaliwa? Fafanua aisee.Chibu atawapa sukari aisee bahati mbaya sana nashangaa ali kushindana na mond kwa views, labda niulize
KATI YA KIBA NA MOND NANI ALITAKIWA KUWA ANAVUNJA RECORD ZA MWENZIO UKIZINGATIA UMRI WAO KWENYE MZIKI?
Nijibuni then tueleweshane kidogo.
Utajiri wa vijumba viwili na magari ya kutembelea. Hizo ni basics za maisha etiiiIla macho yanaona kuwa Diamond ni tajiri zaidi ya Alikiba, kama feke views zinampatia mtonyo, sioni tatizo.
Ina maana wewe una akili sana zaidi ya Sony Music Entertainment na Rockstar waliompa endorsement Alikiba?team kiba mna tabu sana huyu kiba level zake ni kina nuhu mziwanda, timbulo, na kina best naso. diamond sio level zake sasa