Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Msimuliaji alisema haya enzi akiwa kijana masikini:

"Ilibaki kidogo niingie kwenye mtanange
(hii siwezi kusimulia hata nihakikishiwe ulinzi wa jeshi la USA au Russia)".

Kwenye part II, atasimulia msijali wakuu kwa sasa msimuliaji hana baya.
🀣🀣🀣 huu msimamo unabaki pale pale tu kama yanga HATUCHEZI/HATUSIMULII.
 
Hapana mkuu, story ninazo lakini humu sileti maana hamna hata malipo japo kidogo, nimezitunza Google Docs.
Sawa mkuu ila hapo nilimaanisha YANGA wanasema HATUCHEZI.
MIMI nasema SI SIMULII hiko kisa cha mke wa mtu.

Pia unaweza kunielekeza namna ya kuingiza hela kupitia utunzi wa simulizi.
(Kwa mapana yaani)
 
Mzes upo vizuri kwenye kusimulia
 
Sawa mkuu ila hapo nilimaanisha YANGA wanasema HATUCHEZI.
MIMI nasema SI SIMULII hiko kisa cha mke wa mtu.

Pia unaweza kunielekeza namna ya kuingiza hela kupitia utunzi wa simulizi.
(Kwa mapana yaani)
Ukishakuwa na uandishi mzuri na ukapata rating nzuri, textbooker, smily, medium, na scripted ni platform zinazolipa waandishi wa makala na masimulizi japo inahitaji uwe vizuri kwenye kimalkia!
 
Ukishakuwa na uandishi mzuri na ukapata rating nzuri, textbooker, smily, medium, na scripted ni platform zinazolipa waandishi wa makala na masimulizi japo inahitaji uwe vizuri kwenye kimalkia!
Ahaa hapo kwenye kimalkia nimesha pishana na gari la minofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…