Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #61
😄😄😄 sawa mkuuTeam KATAA NDOA hatuta shiriki uchaguzi bila reforms
😄😄😄 sawa mkuuTeam KATAA NDOA hatuta shiriki uchaguzi bila reforms
Sumu kwenye vyakula na vinywajiNini kifanyike ili kuitokomeza jamii ya namna hii?
🤣🤣🤣Sumu kwenye vyakula na vinywaji
Sasa hanifa si alikuchoreshea yeye mwenyewe, ila mbususu unazozitafuta wewe hujawahi kuzipata. Nina uhakika huyo dogo wa pipi atakuharibia tu, huyo ni kama mabaunsa wa kwa mkapa 😂😂😂😂😂😂 unajisahaulisha kwamba niliichakata ya Hanifa (mashetani feki) hadi akahamia kwangu!
Hahah tunahakikisha hupumui, mtaani una akina ustadh... jf una id zinazoanza na "mume" yaan tajiri unateseka sana🤣🤣😂😂 Mkuu nakuchukia sana, wewe ndio ulianzisha zogoro nikamkosa @Ephen hata hivyo hapa majuzi nimeanza misheni nyingine ya kukamata mrembo ameibuka mwingine mwenye Id kama yako anajiita Mume mwenza na yeye ameviruga utaratibu wangu.
Nimewakosea nini lakini!
🤣🤣🤣🤣 tubeti basi!Sasa hanifa si alikuchoreshea yeye mwenyewe, ila mbususu unazozitafuta wewe hujawahi kuzipata. Nina uhakika huyo dogo wa pipi atakuharibia tu, huyo ni kama mabaunsa wa kwa mkapa 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣 siku hizi nikimtaka mrembo nitakuwa namwibukia Pm tuone mtawezaje kufanya hila.Hahah tunahakikisha hupumui, mtaani una akina ustadh... jf una id zinazoanza na "mume" yaan tajiri unateseka sana🤣🤣
Nishabeti na Binti Sayunii sijabadili maamuzi. Hapo hata nusu ya mali zangu naweka. Nna uhakika kwa hiyo nyota yako hiyo siku hukula labda siku nyingine. Unaanza tu eti unasema, "mapaja yana joto kama ikulu yenyewe" 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 tubeti basi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nishabeti na Binti Sayunii sijabadili maamuzi. Hapo hata nusu ya mali zangu naweka. Nna uhakika kwa hiyo nyota yako hiyo siku hukula labda siku nyingine. Unaanza tu eti unasema, "mapaja yana joto kama ikulu yenyewe" 😂😂😂
Badae si uhakika tajiri?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🙌🙌
Kwa ulivyo na gundu, utashangaa mods watamsanua mwenye mali yake🤣🤣🤣🤣🤣 siku hizi nikimtaka mrembo nitakuwa namwibukia Pm tuone mtawezaje kufanya hila.
Sijajua mkuu kwa sababu sijui nitaingia muda gani nyumbaniBadae si uhakika tajiri?
Wakileta jeuri naifuta hii JA mara moja hawawezi shindana na mtu mwenye ukwasiKwa ulivyo na gundu, utashangaa mods watamsanua mwenye mali yake
😆Jamanii 😅
Wewe haya 😅😆
fanya kweli basi Lamama 🤒Wewe haya 😅