Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #101
🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu siku nikifika huko nitakucheki nione unavyo Chukua nauli kwenye bajaji.Ukifika ntegu nicheck nitakuwepo hapo
Muendelezo nimeweka.
🤣🤣🤣🤣 sawa mkuu siku nikifika huko nitakucheki nione unavyo Chukua nauli kwenye bajaji.Ukifika ntegu nicheck nitakuwepo hapo
Mwaka gani mkuu?Hauna baya tajiri. Magomeni Mtwara niliishi kidogo
Yaah wenyewe wanalijua hilo, nasema uongo Moderators?Hahah kwamba wewe ni mkubwa kuliko JA? 😂😂😂
Nimeweka mkuu.Badae si uhakika tajiri?
Asante tajiri, nimeitikia ngoja niisome sasa
mimi nipo upande wa mwali,sisi ni marasta hujawahi kuona namuita Rasta wa kilatina 😁😁😁,😂😂😂ras mshenga
Sawa kaka....vp kwa yule mtoto mgeni tukupromote 😂😂😂mimi nipo upande wa mwali,sisi ni marasta hujawahi kuona namuita Rasta wa kilatina 😁😁😁
Wamesha mbetia tajiri kuwa na hapa hata kula tunda 😁😁Nimefatilia sana ila nimegundua tajiri una chembechembe za u inter Milan makali mwanzon ila fainali mhh😂😂😂😂
Nilisema sikusema?🤣🤣🤣🤣🤣 wewe na mbususu ni kusi na kusi hamuwezi kuvutanaNimeweka mkuu.
Tukampe promo tajiri😂
Sawa kaka....vp kwa yule mtoto mgeni tukupromote 😂😂😂
Mwenyew ameshasema Kuna mawili apelekwe kwa sir God au arudishwe sodomaWamesha mbetia tajiri kuwa na hapa hata kula tunda 😁😁
Halafu tajir anatak promo kwel umeona ametuita kwenye Uzi wa mgeni😂😂😂Tukampe promo tajiri
Tajiri ana kila kitu kakosa mtoto mzuri wa kuwa pembeni yake 😅😅Halafu tajir anatak promo kwel umeona ametuita kwenye Uzi wa mgeni😂😂😂
Asante, huna baya,🤣🤣🤣 nishaweka
Mwaka gani mkuu?