Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Mkuu ogopa sana wake za watu kwani wengi wao ni wagonjwa, unakuta mwanamke ana magonjwa ya maambukizi ila hakuambii lakini atataka tu kufanya mapenzi na wewe huku akikuambia kila kitu kiko sawa au hana mahusiano lakini nia yake ni kuondoa upwiru alionao na kukuambukiza ili nawe ukaambukize mkeo ama wenzako mtaani. Wake za watu ni sawa tu na wabunge wetu ambao asilimia kubwa yao ni waathirika kama wasanii wa bongo movie na fleva, hawana issue kabisa. Bora kuwasusa tu wajipige vidole kama Lulu Diva afanyavyo akiwa na upwiru au akitaka hela toka kwa madanga yake.
Pamoja kiongozi
 
Ilikukuta nn? Sio kwa experience hiyo 🤣
 
Kuna jamaa mmoja alikua mlevi balaa,aisee kipato anacho na mie nilikua msela tu njaa ya nyapu sina nilikua nagonga natupa kule.
Jamaa alikutana na mkewe Kigoma huko alikua shirika moja la kimataifa.
Demu alikua kisu sana yaani ukiskia black beauty ndo huyo.
Jamaa ye akitoka kwenda kazini akirudi kalewa.
Yule mkewe kuna siku katoka bafuni kazama gheto na kanga moja kaitupa kule anaomba lotion ajipake.
Aisee niliteseka balaa.
Nilimfikiria jamaa kwamba asikie namega yule mkewe aisee nikaona hapana.
Hata demu alinishangaa.
Hata mafuta anaomba nimpake mgongoni nikagoma.
Kaondoka mkavu.
Ni huyo binti tu mke wa mtu alinitia kwenye majaribu.
Sikuwai kujihusisha na wake za watu mda wote.
 
Daaah I wish ungemla stori ingenoga
 
Mkuu kuwakwepa hawa watu ni mtihani mzito mno, kama kuna mtu anaweza kuumaliza ujana na hajashiriki hilo tukio ni wa kupewa heshima asee amevumilia na kukwepa mengi.
 
Mkuu kuwakwepa hawa watu ni mtihani mzito mno, kama kuna mtu anaweza kuumaliza ujana na hajashiriki hilo tukio ni wa kupewa heshima asee amevumilia na kukwepa mengi.
Nilimuheshimu zaidi yule mwana mumewe maana alikua mtu poa licha ya ulevi wake.
Ila yale mapichapicha ya mkewe nilishangaa tu nikaona tu ataumia hasa mle mle ndani
 
Nilimuheshimu zaidi yule mwana mumewe maana alikua mtu poa licha ya ulevi wake.
Ila yale mapichapicha ya mkewe nilishangaa tu nikaona tu ataumia hasa mle mle ndani
Dah good asee mimi nikiona/kusikia mtu anagonga mke wa mtu mwingine huwa naumia sana, namhurumia sana mwanaume ambae anaigiziwa mapenzi na mkewe.

Kuna Mwanamke flani ameolewa na ndugu yangu katika ukoo, huyo mama mahijab muda wote, kila kipindi cha sala hakimpiti labda kwa dharura. nilishuhudia mchakato wake akienda kugongwa kwenye kibanda flani hivi mchana kweupee, huyo jamaa aliyemgonga ni baba wa mtoto wake. Dah ilinikata sana, nikichanganya sababu zangu binafsi pamoja na kile kisa najikuta nina safari ndefu saana kuingia tena kwenye ndoa.
 
NILIPOISHIA

"familia ya bwana harusi walikuwa na mpango wa kuwavamia huko kwa tatu ila wakaona wanaweza kukuchukulia hatua kubwa wakati huna hatia.
Wamemfwata tatu kumwambia amewajibu kunya hivyo sijajua sasa wataamua kufanya nini mwenyewe muoaji pia sijajuwa ameamua nini huko aliko baada ya kupewa hizi habari zako, mimi nimemaliza kama una swali unaweza kuniuliza"

Nilihisi mwili kunyong'onyea baada ya Mama kunipa habari iliyonitoa katika kiza kinene na kunileta katika dunia nyingine kabisa ambayo siifahamu.

Nilimuuliza mengi Mama huyu ambae ni muongeaji mzuri sana.

Kila alivyo zidi kunipa maelezo mwili ulinitetemeka maana Tatu ameniweka katika Mtego Mbaya mno mtego ambao mara nyingi huwa na madhara ya aina mbili tu, kuvuliwa Ubingwa au kutangulizwa Kwa Sa Godi

ENDELEA..
Nilimshukuru Mama huyu kwa kunifikishia habari hii, tuliagana kisha nikaanza kunyonga pedeli taratibu kuelekea nyumbani na sio kwa Tatu tena. Mzigo wa mawazo na maswali yaliyokosa idadi uliendea kuniandama hadi nikahisi kuendesha baiskeli inaweza kuwa jambo la hatari kwangu, kwani japo sijafumba macho lakini ubongo unagoma kabisa kusapotiana na macho yangu na kunipa picha halisi ya vile vilivyopo mbele ya uso wangu.

Nilishuka katika baiskeli na kuanza kutembea kwa mguu, nilikuwa natembea kivivu mno.
Nilipofika nyumbani nikaingia chumbani kwangu na kujitupa kitandani.
Swali kubwa ambalo lilikuwa linautesa ubongo wangu ni 'KAMA NI KWELI MAMA G AMECHUMBIWA NA HARUSI IPO MACHONI KWA NINI ANIKUBALIE, NA KWA NINI ANIFANYE NIWE HURU KWAKE?'
Nilichora sana hapa nikiwa nimelala chali kitandani lakini sikupata picha yoyote.

Baada ya muda kidogo nikapokea simu ya Mama G kuniuliza vipi mbona leo nachelewa kwanda kwake, nilimjibu ninasumbuliwa na kichwa ndiyo maana nimepitiliza bila kumwambia.
Aliniambia anakuja kuniona nikamwambia asijali a
Nikizidiwa na hali nitamwambia atakuja hata asubuhi, hii ilikuwa ni jioni ya saa 12.
Baada ya hapo nikaizima simu yangu ili nisipate tena mawasiliano na yeye kwa wakati ule na sikuiwasha tena hadi siku inaisha.

Asubuhi niliamka mapema kama kawaida yangu kisha nikafanya harakati kadhaa za nyumbani, nikaichukua simu yangu na kuiwasha nikakuta jumbe kadhaa za Mama G ambazo alituma usiku na ile alfajiri akitaka kujua hali yangu, nilikausha tu sikujibu hata moja.
Baada ya muda mchache akanipigia nikapokea simu na kuiweka sikioni.

MIMI 'Halo'

YEYE 'Haloo habari za asubuhi'

MIMI 'Salama tu namshukuru mungu'

YEYE 'Vipi afya yako inaendeleaje'

MIMI 'Mimi siumwi bhana hivi kwanini hukuniambia kwamba umechumbiwa?'

Akakaa kimya kwa sekunde zisizopungua sita huku nami nikibaki kimya tu nasubiri jibu lake.

YEYE 'David kwanza nikuombe samahani kwa kutokukwambia mapema hilo, nilisubiri tukianza kukutana kimwili ndiyo nikuambie.
Jambo lipo hivi, Mwanaume ambae nimezaa nae huyu mtoto wa mwisho (G) ndiyo ambae alitaka kunioa, alinijia mwanzo nikakataa kwa sababu ana mke kwa hiyo mimi ningekuwa kama mke wa pili. Baada ya muda tena akanijia na kunipigia magoti nimkubalie jambo la ndoa kwani hapendezwi kuona mwanae anakosa ukaribu wa baba ilihali yeye baba bado yupo hai na anajiweza.
Alinisihi sana juu ya hilo mwisho ikanibidi nimkubalie.

kweli akapeleka posa kwa mzee tukakubaliana mahari ni kiasi gani na akatoa baada ya hapo habari ya ndoa ikawa wazi kwa jamii na yeye akawa ananipa huduma zote kama mkewe.
Tangu kuwa wazi sasa nikaanza kupata matatizo tofauti tofauti ya kimazingira nilipoenda kwa mtaam akaniambia ni Mke wa Baba Zawadi ndiyo ananiwinda.
Ikabidi nifanye kinga ili kujilinda.
Sasa baada ya wiki tatu hivi tangu kuiweka wazi harusi Baba Zawadi akaja kuniaga kwamba anasafiri anaenda nje ya mkoa kikazi (hajaajiliwa huyu, ni mganga njaa mwenzangu tu enzi hizo kabla sijawa Tajiri) Mimi nikaitikia na tukaongea mengi hapo, akaniachia hela ya kujikimu kwa siku kadhaa kisha asubuhi yake akaondoka.

Tangu ile siku ameondoka mawasiliano yetu ni ya kuokoteza na hata tukiongea hatuna maelewano mazuri na tangu ameondoka ni mwezi sasa hajui kitu chochote kinachoitwa huduma kwangu.
Na isitoshe huyu mkewe huku nyumbani anazidi kunitafuta kila pembe ndiyo maana nimekusubirisha kufanya mapenzi hadi leo kwa sababu naoga kinga, hapa nilipo habari ya hiyo ndoa sina kabisa tena nimeghaili kabisaa.
Ndio maana sikukwambia chochote kuhusu hiyo ndoa kwa sababu mimi sihesabu kama kuna ndoa'

'Mama Gift hivi una akili wewe, Kwahiyo ukaona mimi ndiyo niwe mbuzi wa kafara kwenye hayo matatizo yenu? Kwahiyo kupitita katika mzozano ndani ya mwezi ndiyo iwe sababu ya kubatilisha yote mliyoyapanga? Na hata kama inabatilisha si ungemwambia mzee wako mkaangalia namna ya kulimaliza hilo jambo kwani maana ya ndoa kuhusisha wazee nini?
Kwahiyo kwa ujinga wako ukaona bora unitie mimi kwenye matatizo, haya tufanye huyo jamaako amekufanya vibaya na ni haki yako kuvunja ndoa kuna mtu ataliona hilo na kuacha kujadili ushenzi ambao umefanya na umenihusisha mimi ambae sijuwi chochote? sasa hiyo samahani ni ya kazi gani, kama ningekuwa nishauliwa hiyo samahani ungeniombea wapi? Nilikuwa nakuona unajitambua sana kumbe ni mjinga kupindukia wewe mwanamke msiiiiiwww'

Nikakata simu, akapiga tena nikakata na kuizima.

Nikiwa na hasira iliyo andamana na majuto nikaweka mambo yote sawa na kuanza safari ya kuelekea kazini.

Nikiwa njiani nikampigia yule Mama ambae alinipa habari za Mama G jana, nikaongea nae na kumwambia kwamba kupitia mdomo wa Mama G nimethibitisha yale ambayo ameniambia jana, nikamshukuru kwa kinipa taarifa ile pia nikamwambia kwamba nimeamua kumuacha Mama G na sina mpango nae tena.

Nilifanya hivi kwasababu nilijua kupitia huyu Mama taarifa itafika kwa jamii na itasaidia kusukuma kile walichokiamini tangu mwanzo (kwamba sikuwa najua lolote)

Baasi bwana... nikafika kazini kama kawaida na kuanza harakati zangu huku nikiwa sina amani kabisa..
Ukafika muda wa chai dah niliteseka mno kuacha kwenda kula kwa Mama G sehemu ambayo ni miaka sasa naenda kula kila asubuhi labda kwa dharura .
Siku hii sikuwa na mzuka Kabisa wa kumsikiliza mwanangu Dizasta vina (black Maradona)
Kilinge kilikuwa kinyonge mno, japo hii siku ilijikokota lakini jioni ilifika nami nikarudi nyumbani bila makona kona😂

Siku zikazidi kutembea huku Mama G akinitafuta kwenye simu kila baada ya kupita siku kadhaa lakini sikumpa sikio langu Kabisa akipiga nilikuwa nakata akituma meseji nakula buyu, mwisho akasitisha Kunitafuta.
Zikapita kama wiki tatu hivi wakati pakiwa na ukimya juu ya tukio lile, siku moja nikamuona Baba Zawadi wakati nipo ofisini, nilipomuona nilistuka sana lakini yeye alikuwa na habari zake tu hakuwa akija golini kwangu.

Baasi bwana... ikawa usiku ikawa mchana, ikawa usiku ikawa mchana.

Ile ndoa haikufungwa tena na wala sikuwa najuwa kilichoendelea baada ya jamaa kurudi.

Mama G sikumtafuta tena hadi leo japo huwa tunaonana na kusalimiana (ninapokuwa Tanzania😂)
Sehemu yake ya chai sijaingia tena hadi leo (na siwezi kuingia tena hadi ninakufa kwa sababu siwezi kwenda Sehemu unachapa breakfast unashiba ndi unalipa elfu tano na chenchi inarudi)

MWIIIIIIIIiiiiiiiiiiiiiSHOOOoooooooooo

Asanteni wote mnaofuatilia visa ninavyovileta hapa.
Ukiniuliza chochote kuhusu kisa hiki nitakujibu.

Kituo kinacho fuata ni kwenda kuimaliza simulizi ya My Family kama hujaisoma hii simulizi usikose kuipitia ni simulinzi kali mno (muwamba ngoma 🤸) sitaweka kisa chochote hapa jf hadi tuimalize hii👇

Tulipoishia ni mpenzi wangu Qashy Lilith mwanadada kutoka huko Moshi amepotelea kusikojulikana wakati ana ujauzito wangu na tangu kutoweka kwake watu wake wote wa karibu Laini zao zimefungiwa hadi watu wa familia yangu.
Kwa mtazamo imehisiwa Qashy alikuja mkoani Mtwara kwa mpango maalumu.
Joanah rafiki yangu ambae ni mtaamu wa Teknolojia ananisaidia ili kumpata.
Kuna Akina Edo kissy humo wakina mzabzab 😂 wakina ephen_ na wengine wengi. Hii hapa👇

kama nina baya semeni...
 
downloadfile-6.png

Binti Sayunii Harmful dosho12 secretarybird Chica Gee Smooth Criminal munemod

Tumemalizana na Mama G. Tunaenda kwa Qashy Lilith
 
Back
Top Bottom