Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Kuna mganga nimemwelezea tatizo lako amesema "comedy" na mbususu ni mbingu na ardhi.

nimemwambia mbona hajauliza hata mizimu wala kuongelea kwenye vibuyu? akanijibu hilo hata halihitaji kusumbua wazee waliopumzika

Anyway, hizo zilikuwa njia za kupita tu ili uje kuwa maskini jeuri, ungepewa mbususu kirahisi hela zako zingeishia huko
Mkuu, hiyo ni kabla sijakuwa Hivi, kwa sasa hizi mbususu za kibongo zinajileta zenyewe tu halafu mimi sina mpango nazo, nadili na za huko nje.
 
Mkuu, hiyo ni kabla sijajuwa Hivi kwa sasa, hizi mbususu za kibongo zinajileta zenyewe tu halafu mimi sina mpango nazo, nadili na za huko nje.
Hahah umeshndwa za single mothers mama G, upate za nje? Mkuu acha utani basii, we labda mashetani yakuhurumie tu yampande mtu huko ajilete kwako akiwa na mashetani kichwani
 
Utafanyaje sasa na huna hela!🤣 Ungekuwa na hela ungezitafuta simulizi za wale wanaoandika kwa ustadi na ushawishi mkubwa, Mimi najiandikia tu namna jambo lilivyotokea na u

Utafanyaje sasa na huna hela!🤣 Ungekuwa na hela ungezitafuta simulizi za wale wanaoandika kwa ustadi na ushawishi mkubwa, Mimi najiandikia tu namna jambo lilivyotokea na namna ninavyoweza kulielezea.
umaskini wangu unakupa furaha sio, sa skia tafuta bandama jipya maana iyo furaha itadumu sana
 
Mkuu ogopa sana wake za watu kwani wengi wao ni wagonjwa, unakuta mwanamke ana magonjwa ya maambukizi ila hakuambii lakini atataka tu kufanya mapenzi na wewe huku akikuambia kila kitu kiko sawa au hana mahusiano lakini nia yake ni kuondoa upwiru alionao na kukuambukiza ili nawe ukaambukize mkeo ama wenzako mtaani. Wake za watu ni sawa tu na wabunge wetu ambao asilimia kubwa yao ni waathirika kama wasanii wa bongo movie na fleva, hawana issue kabisa. Bora kuwasusa tu wajipige vidole kama Lulu Diva afanyavyo akiwa na upwiru au akitaka hela toka kwa madanga yake.
 
Back
Top Bottom