Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

NILIPOISHIA
Ilikuwa saa 11 hiyo.
Tulikwenda chumbani kisha nikajitupa kitandani nae akaja, hiko ki G sasa kilikuwa kinasumbua sana siku hiyo utadhani kilikuwa kinaelewa mchongo, Kilikuwa kimepata hafadhali kiasi basi kila tukikapea mia kikanunue pipi chenyewe badala ya kumumunya pipi kinatafuna na kuja kudai hela nyingine😄

Mama G alipokuja kitandani nikampisha upande wa ukutani ambako ningembananisha vizuri kwa shughuli yangu maalum, nyiie nyiie nyiie wanawake wanene watengewe sehemu yao maalumu huko mbele za haki, yaani paja tu la moto utadhani ni ikulu yenyewe.

ENDELEA..

Nikaanza kumpapasa Mama G nae akakubali kuingia kwenye mfumo wangu bwana David Nasredeen Nabi.
Alikuwa kavalia kijola tu hakuwa na pichu ndani, japo ilinishangaza lakini akili haikupata upenyo wa kujiuliza kwamba huyu pichu alivua muda gani na kwanini mtu mzima kama huyu nimkute bila pichu.

Asee mnara wangu ulikuwa umepanda hadi wazungu wanataka kupokea simu bila kupigiwa.
Yaani ule muda angenishika u.oo tu nisingetoboa ningemwaga mbegu.
Nilikuwa nacheza na Mapaja kiuno na kuyaminya minya ma.ako ambayo kiganja changu hakitoshi hata kidogo kuenea kwenye .ako moja tu.
Mama G alikuwa anasikilizia milio tu mwamba ninavyoukagua mwili wake.
Wakati napeleka mkono kwenye kitumbua cha bibi akanishika.

Nikafosi kuupeleka kwa nguvu akaniachia nami nikazama ndichi kwenda kufanya utafiti ambao sijuwi utaniongezea kitu gani nikiwa kama mkemia.
Nikakishika kitumbua akashtuka na kunikazia macho, mjomba hapo nilikuwa natabasamu tu.

"David Subiri "

Sikutaka kumjali nikaendelea na zoezi langu la kupima kiwanja kama kinatosha kusimamisha mnara wangu.

"David nisikilize kwanza"

MIMI "nini kwani au unataka hadi dogo atukute"

YEYE "Hapana ila kuna kitu nataka kukwambia naomba umakini wako"

Nikautoa mkono ndani ya kijola na kutulia huku nikiwaza huu mkono niuweke wapi maana tayari ulikuwa na uteute 😅

"David naomba unisikilize na unielewe japo inawezekana kitu nitakachokwambia hutokiamini"

MIMI "si ndio ukiseme sasa kitu chenyewe"

Akani geukia na kuniweka paja la kulia juu ya paja langu.

YEYE "David mimi naumwa nasumbuliwa na tumbo, sio ugonjwa wa kawaida bali ni wa kimazingira, ile jana usiku nilienda kwa mtaam kuchukuwa dawa na ndiyo naitumia.
Miongoni mwa mambo ambayo nimeambiwa nisifanye wakati naitumia ni kukutana na mwanaume ndani ya siku saba ambazo nitaitumia, najuwa hii itakuwa ni ngumu kuingia katika akili yako lakini sina namna nyingine zaidi ya kukwambia ukweli"

Nilichanganua haraka haraka maneno ya Tatu nikaona wee usiniletee bongo muvi wakati mwili ushapata moto.
Nikauzamisha tena mkono ndani ya kijola na kuanza kumsugua binti kinembe.
Mama G alinikumbatia kwa nguvu nusu anivunje mkono unaompa burudani.
Nikampokea vizuri na kuanza kumla mate huku nikiendelea kukichezea ki.imi chake.

"David utapandisha hisia zako bure tu leo hatuwezi kufanya chochote"

Aliongea kwa sauti ya chini sana Mama G akili ikaniambia yees huyu tayari anaukaribia mlango wa kuingia kwenye sayari nyingine.
Sikutaka kuutoa mkono wangu kwenye sambusa lake kwani nilijuwa ndiyo njia pekee itakayomfanya achanganyikiwe kwa haraka na kuutamani muhogo wangu bwana David jang'ombe.

Kwa asilimia 99 wazo langu lilikuwa sahihi ilifika hatua Mama G alikuwa hajiwezi kabisa baada ya kuwa nimemkojoza nika kikunjua kijola chake chapu na kukipeleka juu, asee nilikutana na sambusa moja nene mno, halafu nyeupee.
Nikainuka chapu na kumtoa nyoka wangu kwenye suruali ili aanze kuishambulia hii sambusa. Asee nyoka mwenyewe alikuwa ashalowesha suruali kwa yale mate meupe ambayo hayana sumu, nikamshika nyoka wangu na kumchanua mapaja Mama G ili nianze mchakato wa kumtafuta mdogo wake G.

Mama G akafunua macho na kukurupuka, akasogea pembeni ya kitanda na kunigeukia kunitazama.

"David mbona unakuwa mbishi lakini! nimesha kwambia hatutoweza kufanya chochote naomba unisikilize au unataka uone nimeamua tu kukunyima penzi"


Nilimwagia nasaha nyingi mno Mama Gift ili anilegezee kamba lakini wapi, nilidunda tu. Mwisho ikanilazimu niwe mpole na nikubaliane na msimamo wake.
Nikamvuta na kumkumbatia tukaanza kupiga soga hadi jua likazama.
Muda wote huo ki G hakikuwahi kupoa sema ndiyo basi tu kelele zake hazikuweza kunizuia Tembo kunywa maji.
(Mama G ni kweli alikuwa anatumia dawa hii siku lakini haikuwa ya ugonjwa bali ni kinga za kivita za uchawi dhidi ya mwanamke mwenzake, alikuja kunieleza baadae nitasimulia huko mbele)

Sasa ulikuwa ni muda wa kuandaa chakula cha usiku hivyo tukatoka na kwenda jikoni, akabandika maji jikoni kisha nikampa hela akanunue unga tusonge ugali tule na vijana wetu.
(Basi kuna mtu atataka kujua nilimpa shingapi🤣 haya nilimpa elfu kumi na haikurudi chenchi hadi leo vipi umefurahi?)

Baasi bwana namwana akarudi kutoka dukani tukapiga soga kidogo kisha nikatembea kuelekea home.
Njiani nilikuwa najiongelea mwenyewe tu na kupanga mipango namna nitakavyo ipania gemu ya kwanza ambayo ni siku sita kutoka siku hii.

Kama kawaida mjomba nikafika home na kuweka mazingira sawa na kupiga raundi za hapa na pale hadi ulipofika muda wa kudozi.
Mama G sio mtu wa kupenda kuchati sana hivyo japo penzi hili ni jipya lakini halina mbwembwe za kuchati sana usiku kama inavyokuwa mapenzi mapya ya wasichana.

Baasi bwana... zile siku sita zilikuwa ni kama miaka miwili kwangu nilizisubiri kwa hamu mno, kila siku jioni nilikuwa napita kwao nagonga stori kisha nasepa kitaa.

Sasa imefika kama siku ya nne hivi akaja Mama mmoja ofisini kwangu, namfahamu kwa kumuona tu lakini jina simjui.
Tukasalimiana kisha akaniambia ana maongezi na mimi lakini haitapendeza kuongelea kwenye ofisi yangu hivyo anahitaji mawasiliano yangu.

Nilistushwa na maongezi yake kwani hatuna mazoea kabisa na yule Mama japo huwa tunaonana tu mtaani maana yeye anaishi kijiji hiki hiki cha Hiyari, umri wake hapishani sana na Mama Zawadi.
Nilimpa namba kisha akaenda na habari zake.

Nilijiuliza maswali kadhaa lakini harakati zikayasomba mawazo yangu na kuyaelekeza katika kufanya kazi.
Baada ya kama nusu saa hivi nilipokea meseji kutoka kwa yule Mama akiniambia muda ambao nitatoka kazini nimwambie ili tukutane mahali.
Nikamkubalia na kuendelea na shughuli zangu huku nikitawaliwa na mawazo kwamba huyu Mama anataka kunisaundisha ama ni ana nini.

Nilipokaribia kufunga ofisi nilimcheki yule Mama theni akanielekeza maeneo ya kukutana ambayo hayana majumba mengi.
Mwamba nikafunga ofisi kisha nikashikilia baiki yangu hadi eneo la tukio, nikamkuta yule Mama chini ya muembe alionielekeza.
Tukasalimiana kisha yule Mama akaanza kuleta hoja yake.

"Kakaangu nadhani umeshangaa sana mimi kukuhitaji kimaongezi, ila wala sina jambo la kutisha nihitaji tu kujua una mahusiano na Tatu? Kama jibu ni Hapana basi hakuna tatizo naweza kukuacha ukaenda ila kama jibu ni ndiyo nitakuuliza suali lingine"

Aliongea kwa ujasiri na uhuru Mama huyu kiasi cha kufanya nishikwe na kigugumizi cha kumjibu.

"Hapana sina uhusiano nae zaidi ya kuzoeana kama marafiki tu vipi kwani kuna nini?"

"Nimesema kama hamna mahusiano basi unaweza kwenda"

"Sawa lakini huwezi kuniacha na maswali ambayo sina majibu yake, kwa nini umeniuliza hivyo?"

"Hahahaha.. Tatu si ni rafiki yako? rafiki yako ambae unaingia hadi chumbani kwake sawa. Sikiliza kakaangu najua wewe na Tatu ni wapenzi mimi nimekuita hapa ili nikufae tu kama mdogo wangu au kakaangu, hapo ulipo upo katika hatari lakini inawezekana mwenyewe hujajua, Ila shukuru unaishi vizuri na watu ndiyo maana hawajaamua kuchukua hatua za haraka kwako. Tatu pale alipo amechumbiwa na mahari imetolewa kinacho sunbriwa ni kupanga tarehe ya shughuli tu. Lakini sasa jambo la kustaajabisha na kusikitisha ni kwamba ndani ya hizi wiki wewe umekuwa ukifika kwake na kujitawala kama vile ni kwako, yaani umekuwa stori mtaani kila mtu anakushangaa.

Ila baada ya watu kujiuliza wakapata majibu pengine hujui kinachoendelea kwa sababu huyajui mambo ya ndani ya kijiji hiki, lakini pia ustaarabu uliojijengea umemaanisha watu kwamba umeingia kwa Tatu bila kujua kwamba ni mke mtarajiwa wa mtu. familia ya bwana harusi walikuwa na mpango wa kuwavamia huko kwa tatu ila wakaona wanaweza kukuchukulia hatua kubwa wakati huna hatia.
Wamemfwata tatu kumwambia amewajibu kunya hivyo sijajua sasa wataamua kufanya nini mwenyewe muoaji pia sijajuwa ameamua nini huko aliko baada ya kupewa hii habari zako, mimi nimemaliza kama una swali unaweza kuniuliza"

Nilihisi mwili kunyong'onyea baada ya Mama kunipa habari iliyonitoa katika kiza kinene na kunileta katika dunia nyingine kabisa ambayo siifahamu.

Nilimuuliza mengi Mama huyu ambae ni muongeaji mzuri sana.

Kila alivyo zidi kunipa maelezo mwili ulinitetemeka maana Tatu ameniweka katika Mtego Mbaya mno mtego ambao mara nyingi huwa na madhara ya aina mbili tu, kuvuliwa Ubingwa au kutangulizwa Kwa Sa Godi

Nitaendelea...

HIYO SEHEMU IJAYO NI YA MWISHO
 
Back
Top Bottom