Alikufa kwa zaidi ya dk 70. Moyo wake umepigwa shoti zaidi ya 15 ndio ukafanya kazi tena

Alikufa kwa zaidi ya dk 70. Moyo wake umepigwa shoti zaidi ya 15 ndio ukafanya kazi tena

Dah kweli watanzania afya zetu ziko rehani sana; kumbe vifo vingi tunakamatana uchawi kumbe ni vya kitaalamu tu na vinatibika!

We acha tu mkuu, yani kumbe tumezika ndugu zetu kibao huku jamaa wakiwa bado na uhai! 70 minutes!! Huku hata dakika tano nyingi tayari wamesogeza mortuary!
 
............

Nisikuchoshe kwa maelezo marefu mkuu,ila kama utapenda naweza kuendelea kuzielezea mechanisms zilizobaki katika post nyingine

Mkuuu endelea . Ufafanuzi na malezo yako japo ni ya kitaaamu sana lakini binafsi naona nimewza kujifunza na kuelewa mambo zaidi. sababu umefanua kwa lugha "yetu" na pili kwa maelzo rahisi
 
Back
Top Bottom