ππ kipi kilichokukuta win mbona kama unataka kusema kitu πππsawaaa,, Siku kikikulamba urudi kutafuta huu uzi ππ
kaa ukishuhudia kinavyowaka motoπππ πͺοΈπͺοΈπͺοΈπͺοΈπͺοΈπ©οΈπ©οΈπ©οΈ
leo ndugu yangu umekula viagra na kademu kamegoma kuja na nauli kamekula π€£π€£ na hizi sikukuu mnapngwa kweli kweli
Hapana sio hivyo,ni mtu pekee hapa JF palipojaa wasiojulikana nimewahi kuonana nae live na tukawa na mawasiliano ya karibu,inakuwa ni rahisi kukumbuka!oh pole inaonekana alikua ni mtu mwema kwako, vipi hujammiss naona kama bado anaishi moyo mwako wekeni mambo sawa banah mrejeshe kitu mlichokipoteza
inapendeza kwa kweli inaonekana ulimuamini sana ,ukimuamini mtu akivunja trust si inapasua moyo sana?Hapana sio hivyo,ni mtu pekee hapa JF palipojaa wasiojulikana nimewahi kuonana nae live na tukawa na mawasiliano ya karibu,inakuwa ni rahisi kukumbuka!
Mimi ndo kichomi mkuu!inapendeza kwa kweli inaonekana ulimuamini sana ,ukimuamini mtu akivunja trust si inapasua moyo sana?
Hahha nilichanganyaHayo yana ndweleπ
ulikaza sana siajabu angekua mume boraππMimi ndo kichomi mkuu!
πππnimecheka kwa kweli dah π€£π€£ππ€£π Mimi paroko weweπ€£
mi bado mgeni humu πππ kipi kilichokukuta win mbona kama unataka kusema kitu πππ
Ulijaribu kutembelea tanga mkuuAliniuliza huku kaniweka loudspeaker,
"kwani nilikulazimisha unipende?
Vitu unavyonipa sikukuombaπ₯Ή"
Bora angeishia hapo, nikasikia na vicheko kutoka upande wa pili
(Hapo nilikuwa najitia najua saana kujiongeza kumjali mchumba kwa vicent ili kumpungizia vishawishi!!)
Ukitoka msiba wa mzee wangu hii huwa n simulizi ya uchungu inayofata.
Na mzigo sikupataππ
Unataka kukaribishwa umekutana na muongozo huuππmi bado mgeni humu π
Jamaa alikua husband material kabisa,muda wote anataka ufurahi,kakutana na Mimi Team kataa ndoaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ulikaza sana siajabu angekua mume boraππ
natamani nikujibu kwa voice note nimechoka ku typeπππ,,Unataka kukaribishwa umekutana na muongozo huuππ