nikikuambia mimi mchungaji umini sasa,nilikuambia mwanzo hapo kuwa mbona naona kama bado anaishi moyoni mwako uksema nononoooo 😂😂 hii comment imemaliza utata, mtafute basi muyajenge achana na team kataa ndoa kuna vitu walikunywa team kataa ndoa usiingie kwenye mkumbo🤣Jamaa alikua husband material kabisa,muda wote anataka ufurahi,kakutana na Mimi Team kataa ndoa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mchungaji Bado hujatabiri vyema,ingia Tena kwenye maombi!nikikuambia mimi mchungaji umini sasa,nilikuambia mwanzo hapo kuwa mbona naona kama bado anaishi moyoni mwako uksema nononoooo 😂😂 hii comment imemaliza utata, mtafute basi muyajenge achana na team kataa ndoa kuna vitu walikunywa team kataa ndoa usiingie kwenye mkumbo🤣
Hatimaye nimepata picha ya kupanda nguzo ya umeme kwa mkono mmoja.
😂😂😂 kuna jambo lipo kifuani win mpaka voice note andika utoe sumu vidole havigombaninatamani nikujibu kwa voice note nimechoka ku type😄😄😄,,
Amna unajitahd tu kumeza dawa kwa wakati, mazoezi na mboga za majani kwa wingiHuo ugonjwa na manifest niishie kuusikia tu sitaweza kuhimili mimi 🥹🙌
Sikubaki kizembe nikaenda Tanga mkuu...Ulijaribu kutembelea tanga mkuu
usijali ila ipo namna🤣🤣 sema ubishi tuMchungaji Bado hujatabiri vyema,ingia Tena kwenye maombi!
noo bwana sina lolote ila ni uchovu wa hali yangu😪,, ujue unakaribia kuitwa babu eeh,, mim ni mjamzito kwahiyo kila kitu naona kinanichosha kwa saivi aseee😂😂😂 kuna jambo lipo kifuani win mpaka voice note andika utoe sumu vidole havigombani
usiniseme sana bwana,, nilikuaga mtoto kipindi kile😄😄😄😄Alitaka nimbembeleze kutumia hela zanguu na Mimi kubembeleza sijui.
She was like "unaona najipendekeza sana maisha mema"
Itaendelea.....
ahhh win 😂😂😂 mjukuu hakupi utulivu mbona ni jambo zuri hivi mjukuu wangu mwache apate anachotaka, anataka nini sahivi chips au sugarcane🤣noo bwana sina lolote ila ni uchovu wa hali yangu😪,, ujue unakaribia kuitwa babu eeh,, mim ni mjamzito kwahiyo kila kitu naona kinanichosha kwa saivi aseee
anamtaka babaake🤭ahhh win 😂😂😂 mjukuu hakupi utulivu mbona ni jambo zuri hivi mjukuu wangu mwache apate anachotaka, anataka nini sahivi chips au sugarcane🤣
😂😂😂😂 mshana hizi picha zote zipo kwenye simu yako hazijazi storge hizi picha😂😂
babaake amekimbia nyumba,itakua unampelekesha sanaanamtaka babaake🤭
Unataka kusemaje sasa ukiwa umekua😂🙌usiniseme sana bwana,, nilikuaga mtoto kipindi kile😄😄😄😄
safi simama jifute vumbi songa mbele mzeeNi nje ya jf, ilinikuta juzi tu🚮