ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwanini afute vumbiππsafi simama jifute vumbi songa mbele mzee
ππ si ndiyo, niambie wewe unaweza tembea ukiwa na vumbi kwenye nguo?Kwanini afute vumbiππ
Na kwanini ni kalie vumbi hakuna vikalio mean vitu vya kuvikalia kuepka hilo vumbiπππ si ndiyo, niambie wewe unaweza tembea ukiwa na vumbi kwenye nguo?
ππhaya hapo umenishindaNa kwanini ni kalie vumbi hakuna vikalio mean vitu vya kuvikalia kuepka hilo vumbiπ
π―Hakika mkuu.safi simama jifute vumbi songa mbele mzee
T K Oππhaya hapo umenishinda
πsawa mtaalamu wanguT K O
vipi, ulimpata? au uliamua kumfundisha adabu akafie mbele!Sikubaki kizembe nikaenda Tanga mkuu...
Kama ulikuwepoπ
saivi mimi ndo nitakubembelezaπππUnataka kusemaje sasa ukiwa umekuaππ
yupo anatutafutia chochote kituπbabaake amekimbia nyumba,itakua unampelekesha sana
Ewaa, hapo safii huku nabembelezwa huku nafurahia ufufuoππ Raha hizi..saivi mimi ndo nitakubembelezaπππ
ushindwe kunenepa tuπ€πEwaa, hapo safii huku nabembelezwa huku nafurahia ufufuoππ Raha hizi..
Heri ya pasaka minSijaelewa , yani nan na wapi ?
Na wewe pia kapeace, pasaka leo wapHeri ya pasaka min
Ukitoka kirima, unavuka moto isie unaingia boro, halafu unavuka moto umbwe unaingia sambarai.Sambarai kwa watani? Hiyo ipo wapi
Hapo nimekupata , itabidi niwe mtembeaji, na chakushangaza nyumbani sipajui vizuri ila uchagani yote naijua nnje ndani kuanzia machame uru marangu old mosh sia kirua mpaka tarakeaπUkitoka kirima, unavuka moto isie unaingia boro, halafu unavuka moto umbwe unaingia sambarai.