Alikufanyaje, Ukamfanyaje? Bad experience za kuumiza

Yaliyopita 🚮🚮
New beginning 🥂
Hebu chagua moja kati ya hizi dawa za asill daughter
  • Chai ya Chamomile
    : Hiki ni kinywaji maarufu kinachojulikana kwa kutuliza mishipa ya fahamu na kusaidia mwili kurelax kabla ya kulala.
  • Maziwa ya Moto
    : Kunywa glasi ya maziwa ya moto kabla ya kulala husaidia mwili kuzalisha homoni zinazoleta usingizi.
  • Mzizi wa Valerian (Valerian Root): Hii ni dawa ya asili ya mitishamba inayotumika kupunguza wasiwasi na kusaidia watu wenye tatizo la kukosa usingizi (insomnia).
  • Maji ya Uvuguvugu
    : Kunywa maji ya uvuguvugu kidogo kabla ya kulala kunaweza kusaidia kutuliza mfumo wa mwili.
 
Asante sana 🙏🙏🙏
Happy Easter Dad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…