Alikuja kwangu, akataka tufanye mapenzi, sikuwa tayari alikasirika sana

Unakuta ni mtu unayemheshimu.
Na ujue kukubali huo ndio mwanzo wa kuendelea...
Kwani mtu unaye mtunuku ni yule usiyemheshimu?

Yaani usiyemheshimu ndiye unampa ridhaa ya kuona ambavyo baba,kaka,mjomba wako haruhusiwi kuviona?

Hivi ni vioja mahakamani.

Nimelea na ninalea mabinti wengi tu na family zao unitambua km family friend,sijawahi kufikia viwango vya huyo mwamba kutokana na mazingira yafuatayo;

1 mimi ni kaka yao,mjomba ama baba mdogo.
Hawawezi kutumia fedha yangu kupitia njia za kihuni (vya mjinga),inafikia pahala anakuja na kweli unamuona anapitia msoto,basi namsaidia,na wao pia wamenikwamua sana. Huwa wakipata wachumba huja kuomba ushauri pengine kabla ya kuwaona baba zao ijapo siyo wote.
2 Ninajiheshimu licha ya kwamba ninawaheshimu pia. Na wanajua kabisa kuwa wakifanya upuuzi mimi nikajua wanaahibika sana,hata kuonana na mimi wanakwepa sana,hapa labda mimi ndo nijue kuwa anataabika,namkalisha,analia,anajuta na anaomba nimsamehe ili arejee kundini kwa amani.

Ninachokihisi kwako itakuwa umekuwa ukimchuna kisela.
 
Unasema tuwe marafiki tu wa kawaida ila unataka Hela
 
Ukiwa rafiki yangu napoteza muda,mawazo ,nguvu na pesa zote kwako.Usiponipa **** nitatomba wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…