Uzuri anatembea kwa barabara nafsi itamsuta. Atashangaa umeme kila kijiji, barabara nzuri na zinazopitika yakiwemo madaraja, watu wanafanya biashara kila kona bila bughudha, mataa ya barabarani kila mkoa, atakutana na hospital na vituo vya afya zikiwemo mahakama za kisasa kila mahali. Na ukichukulia muda mwingi aliutumia hospital nje ya nchi kwa hiyo alikuwa hajajua kwa upana yanayofanyika tz.
Ukitaka kujua maajabu ya magufuli upate nafasi ya kutembea tanzania tena kwa barabara kama anavyofanya lissu, lazima uwe mpole.
Kwa sasa hatasikia watu wakimlilia kuhusu umeme, maji, afya, migogoro ya ardhi wala ubovu wa barabara.