Uchaguzi 2020 Alikuwa akisoma comments za Twitter akajua kwamba ameshakuwa Rais, amechanganyikiwa

Kwa hiyo tundu lissu alienda kutafuta vituo vya afya pia nakagua miradi
 
Bila wizi wa kura ccm wanaangukia pua saa 2 asubuhi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wasiojitambua wengi endeleeni kupata kiwewe Mafisi maji nyie
 
Crap!
 
Chadema bado hawajafikia viwango vya kupewa dola.
 
Nduli Idd Amin alijenga miundombinu na mambo kede kede huko Uganda, lakini udikteta wake na kupoteza watu wasio na hatia vimemuacha bila legacy yeyote leo hii.
 
US kuna barabara hadi 'chooni' lakini suala la kuwa Rais ni terms mbili wanakula kichwa. Wewe unakuja na pumba hizi za maji, rami, madaraja tangu 1961 kuwa ndiyo mtu asipate upinzani bali asifiwe tu!
Hivi kwani kodi na mikopo ambayo tunalipa wote huwa ni ya nini kama siyo kufanya masuala ya kuhudumia wananchi?! Mnageuza wajibu wa Serikali kuwa kama hiyari na hisani!
 
Kafuatilie kwanza matumizi ya ruzuku chadema ndio uje
 
Kafuatilie kwanza matumizi ya ruzuku chadema ndio uje
Na hizi ndiyo HOJA zenu za kujifichia. Matumizi ni sahihi kwa mujibu wa CAG na hati safi zinatoka kabla hajawaumbua kuhusu 1.5 trilioni.

Tangu 1961 leo 2020 mnaona ni maajabu ya Dunia nchi kuwa na barabara, madaraja, shule! Changamoto kubwa ni QUALITY siyo QUANTITY, tunafahamu haya yote. Mnashangaa utafikiri UHURU tumepata jana! Utafikiri tangu uhuru tunatawaliwa na vyama tofauti tofauti na siyo CCM!
 
Nchi hii inaliwa na wajanja wachache sana kwa kutumia ujinga, umasikini na ulimbukeni wa vijana wapuuzi kama wa namna yako. Elfu saba unayolipwa kufanyia propaganda hizi inakusahaulisha kupigania haki zako na za kizazi chako cha baadae za kufurahia keki ya Taifa, unadhani kwa upuuzi huu unaweza kufikia maisha ya anasa anayoishi Bashite kupitia kodi yako?
 
Hivi Nyalandu yupo jamani mchizi wangu yule sometime namuoneaga huruma.Lakini hata hivo huruma yangu haimsaidii lolote.
 
Mbona huku kwetu maji hayapo kama kila eneo kumejaaa maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…