Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine tena...akatendwa ....akarudi analia..nikampokea...akatulia..akondoka tena..sasahivi amejazwa..ketendwa tena ..hana msaada..waungwana..nimechoka kumsaidia..kila nikimfundisha hanisikilizi..anatenda yale yale...hatuachi kuwasiliana kila siku kujuliana hali..ila simsaidii tena..inavyoonekana ..mawasiliano hayatakaa kuisha mpaka uzee..juzi nimemwambia ninadate ameninunia mpaka leo..wakati.amejaa..mimi wanini tena..hanifai tena..kila akiwa matatizoni ndio hujua umuhimu wangu..waungwana..nifanye nin kuacha mawasiliano nae??? nataka kuwa huru..kama tai...niruke juuu...niwe na amani..