alikuwa demu wangu

alikuwa demu wangu

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine tena...akatendwa ....akarudi analia..nikampokea...akatulia..akondoka tena..sasahivi amejazwa..ketendwa tena ..hana msaada..waungwana..nimechoka kumsaidia..kila nikimfundisha hanisikilizi..anatenda yale yale...hatuachi kuwasiliana kila siku kujuliana hali..ila simsaidii tena..inavyoonekana ..mawasiliano hayatakaa kuisha mpaka uzee..juzi nimemwambia ninadate ameninunia mpaka leo..wakati.amejaa..mimi wanini tena..hanifai tena..kila akiwa matatizoni ndio hujua umuhimu wangu..waungwana..nifanye nin kuacha mawasiliano nae??? nataka kuwa huru..kama tai...niruke juuu...niwe na amani..
 
Mazoea yanatabu si ulisha mzowesha...sa unapiga kelele za nini tena, endelea kumsaidia.
 
Nadhani ashakuchukulia **** yaani hadi aachwe na wengine ndio arudi kwako nadhani sio demu wako but nidemu ambaye akikosa kwa kwenda ndio anarudi kwako nadhani ungejua maana ya Demu wangu kwanza
 
akatendwa akaja nikampokea,tena akatendwa nikaja nikampokea ......sasa kama kajazwa c umpokee?pf coz hiyo ndo sytsem mliyozoeshana.ashushe aende tena wamtende arudi kwako mpokee akikununuia mbembeleze c umeshamzoesha
 
Anakuchukulia as a best friend, au kama kaka! Haumuexcite enough as a lover ndio maana anaishia kwa badboys!

Be strong, mwambie u will be for her as a friend lkn nawe una mpenzi wako!
 
Endelea tu kuwa umoja wa mataifa......utabarikiwa
 
inakuwaje kwako anakuja akiwa katendwa tu? inawezekana wewe humtoshelezi ndo maana anahangaika.
 
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine tena...akatendwa ....akarudi analia..nikampokea...akatulia..akondoka tena..sasahivi amejazwa..ketendwa tena ..hana msaada..waungwana..nimechoka kumsaidia..kila nikimfundisha hanisikilizi..anatenda yale yale...hatuachi kuwasiliana kila siku kujuliana hali..ila simsaidii tena..inavyoonekana ..mawasiliano hayatakaa kuisha mpaka uzee..juzi nimemwambia ninadate ameninunia mpaka leo..wakati.amejaa..mimi wanini tena..hanifai tena..kila akiwa matatizoni ndio hujua umuhimu wangu..waungwana..nifanye nin kuacha mawasiliano nae??? Nataka kuwa huru..kama tai...niruke juuu...niwe na amani..

kata mawasiliano kabisaaa..inaonekana una muentertain sana..aachwe akurudie ili iweje?..kuWa na misimamo yako binafsi KAMA MWANAUME.
 
Inaelekea una kindizi kisukari sasa yeye hakimridhishi, ndo mana akakimbia anaenda kutafuata kwingine, ila wewe kwake ni DECI anavuna asipopanda
 
hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mpe namba ya ASPRIN ana dawa ya mademu wa aina hii
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine tena...akatendwa ....akarudi analia..nikampokea...akatulia..akondoka tena..sasahivi amejazwa..ketendwa tena ..hana msaada..waungwana..nimechoka kumsaidia..kila nikimfundisha hanisikilizi..anatenda yale yale...hatuachi kuwasiliana kila siku kujuliana hali..ila simsaidii tena..inavyoonekana ..mawasiliano hayatakaa kuisha mpaka uzee..juzi nimemwambia ninadate ameninunia mpaka leo..wakati.amejaa..mimi wanini tena..hanifai tena..kila akiwa matatizoni ndio hujua umuhimu wangu..waungwana..nifanye nin kuacha mawasiliano nae??? nataka kuwa huru..kama tai...niruke juuu...niwe na amani..
 
Tenda wema uende zako, usingoje kurudishiwa...

Ufinya hivi utakuwa na furaha wala haya mambo hayatakusumbua (saidia pale unapoweza hata kama nia adui)
 
Mimi naona tatizo sio yeye ni wewe huwezi kumkunja hadi analeta ukurugenzi unaupokea angalia utapokea na ulibwi tena bado unataka kudate duu we jiwe
 
Inaelekea bado unampenda wewe maana ungekua humpendi ungekata mawasiliano faster tena ungemwambia akome kukuzoea!
 
alikuwa demu wangu, akanitosa, akaenda kwa sharobaro..akatendwa akarudi kajaa..analia..nikamsaidia akaiachia..akawa huru tena...ikapita miezi miwili..nikiwa namsaidia matumizi..akapata nwingine tena...akatendwa ....akarudi analia..nikampokea...akatulia..akondoka tena..sasahivi amejazwa..ketendwa tena ..hana msaada..waungwana..nimechoka kumsaidia..kila nikimfundisha hanisikilizi..anatenda yale yale...hatuachi kuwasiliana kila siku kujuliana hali..ila simsaidii tena..inavyoonekana ..mawasiliano hayatakaa kuisha mpaka uzee..juzi nimemwambia ninadate ameninunia mpaka leo..wakati.amejaa..mimi wanini tena..hanifai tena..kila akiwa matatizoni ndio hujua umuhimu wangu..waungwana..nifanye nin kuacha mawasiliano nae??? nataka kuwa huru..kama tai...niruke juuu...niwe na amani..

mwambie hutak kuwacliana nae tena
 
Kwa nini na ww usimjaze? Tumia dawa za Kichina ongeza kibamia
 
Back
Top Bottom